DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NI NANI ALIYEIDHARAU SIKU YA MAMBO MADOGO?.

Ni nani aliyeidharau siku ya mambo madogo?...Ni swali Bwana alilouliza. Jina la Bwana Yesu Kristo, libarikiwe, karibu katika kujifunza Neno la Mungu, Leo kwa Neema za Mungu, tutajifunza namna ya…

IMANI “MAMA” NI IPI?

Moja ya somo pana sana katika biblia ni somo lihusulo IMANI. Imani ni kama Elimu, kama vile watu wasemavyo Elimu haina mwisho hali kadhalika Elimu ya IMANI nayo haina mwisho.…

UTENDAJI KAZI WA MPINGA-KRISTO.

Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, natumai u mzima, karibu tushiriki pamoja maneno ya uzima, leo tutazungumzia juu ya ujio wa mpinga-kristo. Mpaka sasa dunia inatazamia ujio wa…

SIKU YA HASIRA YA BWANA.

Mtu ambaye ni mwepesi kuudhiwa, au mwepesi kulia, au mwepesi kukasirishwa basi mtu huyo mara nyingi anakuwa pia ni mwepesi kusahau makosa, au mwepesi kufurahi au mwepesi kucheka..Lakini mtu ambaye…

SIRI YA MUNGU.

Shalom Mwana wa Mungu, karibu tujifunze biblia, chakula cha uzima, kitupacho afya rohoni, leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa ufupi, juu ya SIRI YA MUNGU. Biblia imetaja sehemu kadha…

MKUU WA GIZA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, libarikiwe sana. Karibu tujifunze Biblia, leo kwa Neema za Bwana tutajifuza juu ya Namna ya kutoka katika uvuguvugu wa kidunia. Katika kitabu cha ufunuo…

NGUVU ZA ZAMANI ZIJAZO:

Waebrania 6:4 “Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, 5 na kulionja neno zuri la Mungu, NA NGUVU ZA ZAMANI…

JINSI YA KUITUMIA VYEMA NEEMA YA MUNGU ILIYO JUU YANGU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze neno la Mungu, ambalo litatutoa sehemu moja hadi nyingine kiroho..Kama Daudi anavyosema.."Neno lako limesafika sana, Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda. (Zaburi…

BABA YANGU ANATENDA KAZI HATA SASA!.

Shalom! Mwana wa Mungu, Karibu tujifunze Neno la Mungu…ambapo leo tutajifunza mambo machache yahusuyo utendaji kazi wa Mungu. Tutajifunza ni wakati gani Mungu anatenda kazi kwa watu wake. Swali ambalo…

MLIMA WA BWANA.

Mara nyingi tunaposoma biblia katika agano la kale Mungu alipokuwa akitaka kukutana au kusema na watu wake, aliwaita milimani, hilo tunaliona tokea mbali kabisa jinsi Mungu alivyomwita baba yetu Ibrahimu…