DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Neno vuruvuru linamaanisha nini katika biblia?

JIBU: Kibiblia ni neno linalomaanisha “mvurugano” au “mvurugiko” Neno hilo utalisoma katika kifungu hiki; Isaya 17:13 “Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi; Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana, Watafukuzwa…

Kwanini Nuhu alimlaani Kaanani badala ya mtoto wake Hamu,

SWALI: Kwanini Nuhu alimlaani Kaanani badala ya mtoto wake Hamu, ambaye ndiye aliyekuwa na makosa? JIBU: Ni kweli kama tunavyosoma katika maandiko, pindi ambapo Nuhu amelima shamba lake la mizazibu…

Mjombakaka ni nani kwenye maandiko? (Walawi 11:29)

SWALI: Mjombakaka ni nani kwenye maandiko? JIBU: Neno hilo tunalipata kwenye vifungu hivi; Walawi 11:29 Tena katika vitu vile vitambaavyo, vitambaavyo juu ya nchi, hivi ni najisi kwenu; kicheche, na…

USHUJAA WA ROHONI HAUANGALII UZOEFU WAKO.

Nakusalimu katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Nakukaribisha tuyatafakari maneno ya uzima ya Bwana wetu. Leo nataka tujifunze asili ya ushujaa wa rohoni, ambao wakati mwingine tunadhani mpaka…

WALA HAKUACHA MTU ACHUKUE CHOMBO KATI YA HEKALU.

Karibu tujifunze biblia. Leo tutajifunza moja ya taratibu illiyokuwa inaendelea katika Hekalu la Mungu ambayo haikuwa inampendeza Mungu. Tusome, Marko 11:15  “Wakafika Yerusalemu, naye akaingia ndani ya hekalu, akaanza kuwafukuza…

Nini maana ya Mithali 27:6 “Jeraha utiwazo na rafiki ni amini;

SWALI: Nini maana ya mstari huu Mithali 27:6 “Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana” JIBU: Rafiki anayezungumziwa hapo ni rafiki wa kweli ambaye…

ORODHA YA MITUME.

Hii ni Orodha ya Mitume 12 wa Bwana YESU. SIMONI-aliyeitwa PETRO. ANDREA- Ndugu yake Simoni Petro. YAKOBO- Mwana wa Zebedayo. YOHANA- Mwana wa Zebedayo. FILIPO. BARTHOLOMAYO-  Au jina lingine Nathanaeli…

Je! Sulemani alienda mbinguni?

JIBU: Jibu ni ndio. Kosa alilolifanya Sulemani la kushawishiwa na wake zake kuwajengea madhabahu miungu, (1Wafalme 11:3:13) maandiko hayatuthibitishii kuwa lilikuwa ni endelevu, kana kwamba alimwacha Mungu moja kwa moja,…

Biblia inamaana gani inaposema ‘tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao’?

SWALI: Biblia inamaana gani inaposema ‘tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao’? Mhubiri 3:11 JIBU: Mhubiri 3:11 “Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani…

Biblia inaposema Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana, Inamaana gani?

SWALI: Biblia ilimaanisha nini iliposema Kaini ‘Akatoka mbele ya uso wa Bwana’. Kutoka kule kulimaanisha nini? JIBU: Tunaona baada ya Kaini kumuua ndugu yake Habili kwa wivu, ambao ulizuka baada…