DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Masheki ni nini?(Zaburi 105:22, Ayubu 29:10)

Masheki ni watu wenye hadhi ya juu sana, wenye jina kubwa na heshima katika jamii au taifa, Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi katika biblia; Ayubu 29:9 “Wakuu wakanyamaa wasinene,…

JINSI YA KUEPUKA KUUMIZWA MOYO KUSIKOKUWA NA SABABU.

Mhubiri 7:20 “Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, ambaye afanya mema, asifanye dhambi. 21 Tena, usitie moyoni mwako maneno yote yaliyosemwa; usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ali anakutukana.…

Kicho ni nini? (Waefeso 5:21, 2Samweli 23:3)

Kicho ni hali ya hofu. Kwamfano pale biblia inaposema kicho cha Bwana, inamaanisha  hofu ya Bwana. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja neno hilo katika biblia; Matendo 9:31 “Basi kanisa…

MARINDA KATIKA BIBLIA NI KITU GANI?

SWALI: Marinda yanayozungumziwa kwenye Yeremia 13:26 ni kitu gani? Jibu: Tuanze kusoma kuanzia juu kidogo.. Yeremia 13: 24 “Kwa sababu hiyo nitawatawanya, kama makapi yapitayo, kwa upepo wa jangwani.  25…

Je! ile habari ya watu wawili wenye pepo inajichanganya?

SWALI: Biblia inajichanganya yenyewe katika Marko 5:1-6 na Mathayo 8:28-31?..Kwa maana tunaona ni habari moja lakini kila moja imezungumzwa tofauti na nyingine. JIBU: Tusome Marko 5:1  “Wakafika ng'ambo ya bahari…

Nyuni ni nini?(Mathayo 13:32, Sefania 2:14)

Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Hivi ni baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Mathayo 13:31 “Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na punje ya haradali, aliyoitwaa…

Kutabana ni nini? (Mika 5:12)

Kutabana ni kitendo kinachofanywa na wachawi cha kutabiri mambo yajayo kwa kutazama vitu fulani. Kwamfano wasomaji nyota, wasomaji viganja, watazamaji wa nyakati mbaya n.k. wote wanatabana Utalisoma neno hilo kwenye…

Nini maana ya “chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu”?

SWALI: Biblia ina maana gani inaposema “chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu”? Jibu: Tusome.. 1Wakorintho 8:8 “Lakini chakula hakituhudhurishi mbele za Mungu; maana, tusipokula hatupunguziwi kitu, wala tukila, hatuongezewi kitu. 9 …

Fumbi ni nini?(Ayubu 6:15)

Fumbi ni ni neno linalomaanisha kijito, Utalisoma katika mstari huu; Ayubu 6:15 “Ndugu zangu wametenda udanganyifu kama kijito cha maji. Mfano wa fumbi la vijito vipitavyo. 16 Vilivyokuwa vyeusi kwa…

Chamchela ni nini kwenye biblia?(Zaburi 58:9, Amosi 1:14)

Chamchela ni neno linalomaanisha  ‘kisulisuli’, Utalisoma neno hilo kwenye vifungu hivi katika biblia; Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo…