DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JE UNATAMANI KUMJUA MUNGU, NA HUJUI PA KUANZIA?

Ukiwasimamisha watu wawili mbele yako, mmoja daktari na mwingine mtu wa kawaida ambaye hajasoma, halafu ukawaonyesha wote wawili ndege ya kivita inayopaa hewani, kisha ukawauliza swali moja jepesi “ Je!…

FREEMASONS NI NINI? NA MTU ATATOKAJE HUKO?

Freemason ni nini? nini historia ya freemason?, nani mwanzilishi wa freemason na Je! Freemasons ni wa kuogopwa? Masharti ya freemason ni yapi? Shalom! Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu…

NUHU ALIJENGA SAFINA KWA MIAKA MINGAPI?

Biblia haijaweka bayana safina ilijengwa kwa muda gani, Wapo wanaosema ilijengwa kwa muda wa miaka 120 kufuatia mstari wa kitabu cha Mwanzo 6:3 " Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu…

NUHU ALIISHI MIAKA MINGAPI?

Nuhu aliishi jumla ya miaka 950, hiyo ndio jumla ya miaka yake...Aliishi miaka 600 kabla ya Gharika, na aliishi miaka mingine 350 baada ya gharika. Mwanzo 9:28 "Na Nuhu akaishi…

Nuhu alikuwa na watoto wangapi?

Biblia inasema Nuhu alikuwa na watoto watatu tu! SHEMU, HAMU na YAFETI, ambao wote walikuwa wakiume. Mwanzo 5:32 "Nuhu alikuwa mwenye miaka mia tano, Nuhu akawazaa Shemu, na Hamu, na…

KUZIMU NI WAPI

Kuzimu ni mahali, ambapo roho za watu waliokufa zinakwenda..Ni sehemu ya rohoni ambayo haionekani kwa macho ya kibinadamu.. JE! WANAOENDA KUZIMU NI WATU GANI? Wanaoenda kuzimu ni watu ambao wameasi…

UMUHIMU WA KUOMBA MSAMAHA.

Jambo ambalo watu wengi hawafahamu ni kuwa ndani ya mtu kuna kitu kinachoitwa DHAMIRI.. Hichi ndicho kinachomshuhudia mtu kuwa alichokifanya ni sahihi au sio sahihi hata kama jambo hilo litaonekana…

JE YESU ATARUDI TENA?

Bwana Yesu alikuja, akaondoka naye atarudi tena? Swali ni je! atarudi kufanya nini? Jibu: Atarudi  kuitawala hii dunia pamoja na watakatifu wake, Biblia inasema dunia hii, enzi na Mamlaka amepewa…

Mwanamke Mshunami

SWALI: Katika Biblia tunamsoma Mwanamke mmoja aliyeitwa Mshunami, ambaye alimsaidia Nabii Elisha sehemu ya malazi wakati wa huduma yake..Mwanamke huyu aliitwa Mshunami 2 Wafalme 4:12 "Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite…

KUOTA UNAPAA.

Mpaka mtu au kitu kiweze kupaa ni wazi kuwa kimefanikiwa kushinda hali inayoweza kukivuta chini. Na ndio maana kinachopaa kama ndege huwa kina kasi zaidi na kinaona mbali sana tofauti…