DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NINI MAANA YA KUISHI KWA KUUKOMBOA WAKATI?.

Shalom mwana wa Mungu, ikiwa Mungu amekupa neema ya kuiona siku hii ya leo, basi usipuuze kujifunza ni kitu gani anataka kutoka kwako leo?, Kukutana na ujumbe huu si kwa…

CHANZO CHA MAMBO.

Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa iongozayo njia zetu. Biblia inasema “Mjue sana Mungu ili uwe na Amani (Ayubu 22:21)”..Siku…

WATAMTAZAMA YEYE AMBAYE WALIMCHOMA;

Jina Bwana wetuYesu libarikiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema kuiona hivyo nakukaribisha ndugu popote pale ulipo tushiriki pamoja Baraka Bwana alizotuandalia leo. Tukisoma Zekaria 12:9-14, inasema.  “ 9…

WATAMTAZAMA YEYE AMBAYE WALIMCHOMA;

Jina Bwana wetu Yesu libarikiwe. Ni siku nyingine tena Bwana ametupa neema kuiona hivyo nakukaribisha ndugu popote pale ulipo tushiriki pamoja Baraka Bwana alizotuandalia leo. Tukisoma Zekaria 12:9-14, inasema.  “…

MAANDALIZI YA UJENZI WA HEKALU LA TATU YAPO TAYARI.

Jicho la Mungu kidogo kidogo linaanza kuondoka kwa mataifa na kurejea Israeli. Wakati wowote Hekalu la tatu nitaanza kujengwa pale Yerusalemu kwani maandalizi yote yapo tayari.Kilichobaki ni amri tu kutolewa,…

NGUVU YA UPOTEVU.

Jina la mwokozi wetu YESU KRISTO litukuzwe mpendwa, karibu tujifunze habari za uzima. Wapo wengi wanaojifariji kuwa baada ya unyakuo watakuwa na nafasi ya pili. Ndugu Kama hutataka kuitii nguvu…

UFUNUO: Mlango wa 16.

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, ambapo leo tutaitazama ile sura ya 16, ya kitabu hichi, Ni vizuri kama hujapita sura za nyuma…

UFUNUO: Mlango wa 20

Bwana wetu YESU KRISTO apewe sifa, karibu katika mwendelezo wa kitabu cha ufunuo, leo tukiwa katika ile sura ya 20, tunasoma.. Mlango 20. 1 Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, mwenye…

JINSI EDENI ILIVYOKUWA.

Shalom, mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya Uzima, yaliyo taa ya miguu yetu (Zaburi 119:105). Leo tutaona mwonekano wa Edeni ulivyokuwa hapo mwanzo na sasa ulivyo. Ukisoma kitabu cha…