Habari za Esau na Yakobo zina mafunzo makubwa sana kwetu,. Unajua biblia inaposema mambo yote yaliyoandikwa katika agano la kale yalikuwa ni kwa ajili ya kutuonya sisi, ilimaanisha kweli (Soma…
Jina la Bwana wetu Yesu, libarikiwe, karibu tujifunza biblia.. Mwanzo 22: 6 “ Basi Ibrahimu akazitwaa kuni za hiyo sadaka, akamtwika Isaka mwanawe; akatwaa moto na kisu mkononi mwake, wakaenda…
Kama leo hii Mungu akikutoa katika utumwa wa dhambi (Yaani kuokoka), basi weka akilini kuwa unapopelekwa kutakuwa ni nje ya matarajio yako, na pengine pasiwe ni pa kuvutia kabisa katika…
Zamani nilipokuwa mdogo nilijaribu kufanya zoezi ambalo lilikuwa ni hatarishi kwangu. Nilidhani, kila “balbu” ilihitaji kitu kinachoitwa “Umeme”tu bila kujua ni umeme kiasi gani unahitajika ili uwake. Hivyo, siku hiyo…
Kufahamu huduma za Roho Mtakatifu wakati huu ni kugumu kwa wakristo, kama ilivyokuwa kufahamu huduma ya Yesu Kristo kwa wayahudi wakati ule. Wayahudi walimtazamia Kristo aje kama mfalme tu, Wakishikilia…
Labda tuanzie kusoma kuanzia juu kidogo, 2Wakorintho 12:2 “ Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili…
Ufunuo 21:8 “BALI WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na…
Utumwa sio neno zuri, lakini pia ni neno zuri. Watu wa dunia hii wanao watumwa, lakini pia Yesu Kristo anao watumwa wake. Ndio maana alisema maneno haya.. Mathayo 11:28 “Njoni…
Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tuyatafakari maneno mazuri ya uzima. Ulishawahi kuutafakari vizuri huu mstari? Isaya 35: 8 “Na hapo patakuwa na njia kuu, na…
Neno hilo utalisoma kwenye vifungu hivi katika biblia; Walawi 12: 3 Siku nane mtoto atatahiriwa govi ya zunga lake. Kutoka 4:24 “Ilikuwa walipokuwa njiani mahali pa kulala, Bwana akakutana naye…