Jibu: Turejee. Isaya 1:31 “Na mtu hodari atakuwa kama MAKUMBI, na kazi yake kama cheche ya moto; nao watawaka pamoja, wala hapana atakayewazima”. “Makumbi” ni malighafi yoyote inayotumika katika kuanza…
Amali ni nini (Mhubiri 4:4) Jibu: Turejee… Mhubiri 4:4 “Tena nikafikiri amali zote, na kila kazi ya ustadi, ya kwamba inatoka katika mtu kupingana na mwenzake. Hayo nayo ni ubatili…
Swali: Hii karama ya rohoni Mtume Paulo aliyowaahidi Warumi kuwa atawapa ni ipi?..na aliwapaje?. Jibu: Turejee. Warumi 1:11 “Kwa maana ninatamani sana kuwaona, nipate kuwapa KARAMA YA ROHONI, ili mfanywe…
JIBU: Baada ya Yesu kukutana na wale wenye ukoma kumi, na kuwaagiza waende kujionyesha kwa makuhani biblia inatuonyesha walipokea uponyaji wote wakiwa bado wapo njiani, lakini tunaona yule mkoma mmoja…
Mwandishi na uchambuzi wa kitabu cha Wakorintho wa kwanza Kitabu hichi ni moja ya nyaraka zilizondikwa na mtume Paulo katika agano jipya, Waraka huu amegusia mambo mengi, hasahasa katika…
Jibu: Turejee kuanzia ule mstari wa 12.. Luka 17:12 “Na alipoingia katika kijiji kimoja, alikutana na watu kumi wenye ukoma; wakasimama mbali, 13 wakapaza sauti wakisema, Ee Yesu, Bwana mkubwa,…
Jibu: Turejee… Kumbukumbu 32:25 “Nje upanga UTAWAFILILIZA Na ndani ya vyumba, utisho; Utaangamiza mvulana na msichana, Anyonyaye pamoja na mwenye mvi”. Kufifiliza ni “kuangamiza” hivyo neno hilo katika maandiko hayo…
Jibu: Turejee.. Waamuzi 3:17 “Kisha akamsongezea Egloni, mfalme wa Moabu, hiyo tunu; basi Egloni alikuwa ni mtu AYELIWANDA sana”. Kuwanda ni kiswahili kingine cha “kunenepa sana”.. Hivyo mtu aliyewanda maana…
Swali: Je Bwana YESU alipanda mlimani na wanafunzi wake baada ya siku ngapi?..ni Sita au Nane?, Kwa maana katika Mathayo 17:1 na Marko 9:2 panaonyesha ni baada ya siku sita…
Ayubu 38:1 Ndipo BWANA akamjibu Ayubu katika upepo wa kisulisuli, na kusema, JIBU: Tukumbuke kuwa Mungu ana njia nyingi za kuzungumza na watu. Na kila njia huwa na maana fulani…