Swali: Kulikuwa na sababu gani habari za nguo za waliomwua Stefano kuandikwa katika biblia? (Matendo 7:58). Jibu: Turejee… Matendo 7:58 “wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi WAKAWEKA…
Kama kichwa cha waraka Huu kinavyosema… “Waraka wa pili wa Paulo Mtume kwa Wakorintho” Kutuonyesha kuwa Paulo ndiye mwandishi wa kitabu hichi.. Tunaweza kukigawanya katika sehemu kuu tatu (3) 1)…
Swali: Je ni sahihi kusema waraka fulani wa Mtume Paulo ni kwaajili ya kanisa fulani tu?...Mfano waraka wa Wakorintho uliwahusu Wakorintho tu peke yao hivyo si vitu vyote vya kuchukua…
Je unajua nguvu ya manabii, wachungaji, mitume, waalimu na wainjilisti wa uongo inatoka wapi? Si kwingine zaidi ya kwa wakristo wa uongo!.. Labda utajiuliza wakristo wa uongo ni wapi? Wakristo…
Arkipo ni mmoja wa wahudumu wa agano jipya. Ambaye alikuwa na ushirika wa karibu na mtume Paulo katika kazi ya kuieneza injili. Paulo alipokuwa anamwandikia waraka Filemoni, anamtaja Arkipo kama…
Aristarko ni mmoja wa wahudumu wa injili katika agano jipya. Paulo anamtaja kama mtenda kazi pamoja naye (Filemoni 1: 24), wengine wakiwa ni Luka, dema, na Marko. > Aristarko ni…
Tukiwa bado tupo mwanzo wa mwaka, ni wakati wa kushika sana vile tulivyo navyo na kuendelea mbele, wala si wakati wa kurudi nyuma kabisa. Usiyarudie mambo ya kale uliyoyaacha, usiyatamani…
Sosthene ni mmoja wa wahudumu wa injili Katika agano jipya. Mshirika mmojawapo wa mtume Paulo, katika kazi ya kuitetea injili. Katika kitabu cha matendo anatajwa kama mkuu wa sinagogi, kule…
Tikiko ni mmoja wa washirika waliohudumu na mtume Paulo katika kazi injili. Ijapokuwa si mtu anayejulikana sana..lakini ametajwa sehemu kadha wa kadha katika vitabu vya agano jipya. > Anatajwa kama…
Jibu: Turejee… Mathayo 6:28 “Na mavazi, ya nini kuyasumbukia? Fikirini maua ya mashamba, jinsi yameavyo; hayafanyi kazi, wala HAYASOKOTI 29 nami nawaambia, ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote…