DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NJIA SAHIHI YA KUMPATA MWENZA WA MAISHA KIBIBLIA.

Kuchagua mwenza wa Maisha si jambo la kulichukulia kiwepesi wepesi tu kama vile kuchagua Rafiki, ambaye hata mkigombana mnaweza mkaachana na kurudiana muda wowote. Tena ikiwa wewe ni mtu uliyeokoka…

IMANI NI NINI?

Jiunge na group la Whatsapp, ujifunze biblia na upate Neno la siku kila asubuhi. Pamoja na maswali mengi ya biblia yaliyojibiwa..kwa link hii >>>> https://chat.whatsapp.com/LO2BncRILtiAlnRYfZWG2V Imani ni nini? ..Je tunaweza…

USIWE NA HAKI KUPITA KIASI.

Shalom mtu wa Mungu karibu tujifunze Biblia…Neno la Mungu linatuambia katika kitabu cha.. Mhubiri 7:16 “Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe?”.  Maana yake ni…

MARIAMU AKUTANA NA ELISABETI.

Njia za Mungu hazichunguziki, Mariamu akutana na Elisabeti..Elisabeti katika uzee wake aliambiwa atapata mimba, wakati ambao kizazi kimeshanyauka. Je! Ni nini tunaweza kujifunza hapo?. Nakusalimu katika jina kuu la Emanueli,…

UWEPO WA BWANA HATA KATIKATI YA MATESO.

Shalom…Jina la Bwana, libarikiwe..Karibu tuzidi kujifunza Neno la Mungu…Ambalo ni Taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia zetu. (Zaburi 119:105). Leo tutajikumbusha namna Mungu anavyotenda kazi ili tusijikute tunaingia…

ANTIPA SHAHIDI WANGU, MWAMINIFU WANGU.

Vitabu vilivyothibitika vya historia vinavyoeleza maisha na vifo vya watakaifu wengi wa kwanza vinaeleza kuwa Antipa alikuwa ni kasisi aliyeteuliwa na mtume Yohana, kuwa mwangalizi wa kanisa lililokuwa Pergamo. Kama…

WINGU KUBWA LA MASHAHIDI.

Utangulizi: Tusomapo, habari za mashujaa hawa wa Imani, lengo lake ni kututia hamasa ya kutua mizigo yote ya dhambi inayotusonga , na kupiga mwendo kwa saburi katika safari yetu ya…

ZIFAHAMU NAMBA KATIKA BIBLIA NA MAANA ZAKE.

Zifahamu namba katika biblia na maana zake. Tafsiri ya namba kibiblia. Shalom, Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Kabla hatujaenda moja kwa moja katika tafsiri ya namba kibiblia, awali ya yote…

Je Mahari ina ulazima wowote?

SWALI: Je ulipwaji wa Mahari ina ulazima wowote?..je ni Agizo la kibiblia? Na kama ni hivyo Je! Adamu alitoa mahari kwa nani ili ampate Hawa? JIBU: Ndoa ya kwanza ilifungishwa…

WINGU KUBWA LA MASHAHIDI.

Shalom, jina la mfalme mkuu Yesu Kristo libarikiwe daima.Kama ukisoma kitabu cha Waebrania sura ile ya 11 yote, Utaona Mtume Paulo, akiwaelezea kwa mapana wale mashujaa wa Imani (Wingu kubwa…