Swali: Kuna nini katika Divai mpaka Bwana YESU ayageuze maji kuwa Divai? Jibu: Hakukuwa na chochote maalumu au cha kipekee katika Divai. Sababu ya Bwana YESU kuyageuza maji kuwa Divai…
Bwana YESU KRISTO alizaliwa katika Nchi/Taifa la ISRAELI, lililopo mashariki ya kati. Na mji aliozaliwa ni Bethlehemu ambao ulikuwa katika urithi wa kabila la YUDA. Mika 5:2 “Bali wewe, Bethlehemu…
Jibu: Turejee, Walawi 19:32 “Mwondokeeni mtu mwenye mvi; heshimuni uso wa mtu mzee; nawe mche Mungu wako, Mimi ndimi Bwana”. Maana ya kumwondokea ni “kumsogelea au kumkaribia ili kumsikiliza”. Hivyo…
Huwenda ukawa unajiuliza, Bwana Yesu alikuwa na maana gani kusema, Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru? . Je huko gizani ni wapi, na sirini ni wapi? Je yeye huwa…
Neno sulubu huzaa kusulibisha/kusulubisha, Maana ya Sulubu, ni kuadhibisha kwa kuning’iniza kwenye mti wa msalaba, au nguzo iliyonyooka, kwa kufungwa au kugongelewa miguu na mikono, na kuacha hapo mpaka ufe.…
Nyakati tunazoishi ni za hatari kubwa, zaidi hizo zinazokuja wakati si mwingi ndio za hatari mno. Watu wengi hawajui kuwa mwisho umekaribia sana, dunia imekwisha, na kwamba SIKU YA BWANA,…
(Mfululizo wa masomo yahusuyo Uhuru wa Roho na Utumwa wa sheria). Jina la Bwana YESU, MKUU WA UZIMA libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la MUNGU wetu lililo Taa na Mwanga…
Mwimbaji mmoja wa tenzi za rohoni aliandika hivi “Kama alivyoonyeshwa Yakobo zamani, msalaba umekuwa ngazi ya mbinguni (Tenzi no. 81, ubeti wa 2)”.. akirejea wakati ule Yakobo alipokuwa amelala pale…
Shukrani au kushukuru ni ile hali ya kurudisha hisia chanya kwa mema au mabaya yaliyokufikia. Kwa tafsiri ya kidunia, shukrani inatolewa pale mtu anapopokea mambo mema.. Kwamfano mtu atarudisha shukrani…
Swali: Kusaga kunakozungumziwa katika Ayubu 31:10 ni kupi?..na maandiko hayo kwa ujumla yana maana gani? Jibu: Turejee kuanzia mstari ule wa 9. Ayubu 31:9 “Kama moyo wangu ulishawishwa kwa mwanamke,…