DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kwanini Bwana aliongea na Abramu baada ya kutengeana na Lutu?

Mwanzo 13:14 Bwana aliongea na Abramu Alipotengana na Lutu na kumpa nchi. Sasa ni kwanini aongee naye baada tu ya wao kutengana?. inamana uwepo wa Lutu ulimzuia Mungu kumpa nchi…

UTUKUFU NA HESHIMA.

Utukufu na Heshima. Mungu wetu ndiye anayestahili utukufu na heshima yote..biblia inatuambia hivyo katika.. Ufunuo 4:11  “Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea UTUKUFU NA HESHIMA na uweza; kwa…

Mungu ni Mungu tu!

Mungu ni Mungu tu!. Watu wengi tunadhani, tunaweza kumuudhi Mungu au kumkomoa Mungu kiasi cha kumgharimu kupoteza kitu fulani, pale tunapofanya jambo lisilompendeza.. Biblia inasema hivi.. Ayubu 35:6 Ikiwa umefanya…

JIFUNZE KUELEWA MAANA YA KUOA/KUOLEWA KABLA YA KUINGIA HUKO.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Kama wengi wetu tujuavyo, Ndoa ya kwanza ilifungishwa pale Edeni na Mungu mwenyewe. Na ilikuwa ndoa takatifu, iliyobeba msingi na dira ya ndoa…

MASHAHIDI 40 WALIOUAWA MJINI SEBASTE, NI UJUMBE KWETU.

Ilikuwa ni mwaka wa 320, wakati wa utawala wa mfalme Licinius wa Rumi, Kumbuka zamani hizo Rumi ndiyo iliyokuwa inatawala karibu dunia nzima wakati  huo na ndio iliyokuwa kichwa cha…

MTANGO WA YONA.

Mara nyingi Mungu wetu akitaka kutupa ujumbe, au kumpa mtu ujumbe huwa anazungumza na sisi kwa mifano, au kwa ishara, na mifano hiyo inatusaidia kuzielewa vizuri hisia zake kwetu au…

MAJESHI YA PEPO WABAYA.

Shalom. Waefeso 6:12 “Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi…

NEEMA YA MZALIWA WA PILI.

Kuna nguvu katika mzaliwa wa pili. Shalom, jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Biblia inasema Israeli ni Mzaliwa wa kwanza wa Mungu.. Kutoka 4: 22 “Nawe umwambie Farao, Bwana…

ALIYOKUTANA NAYO YESU, YERIKO.

Kuna watu wawili ambao tunaweza kujifunza leo katika ile safari ya Bwana Yesu kuelekea Yeriko, Biblia inatuambia kulikuwa na mkutano mkubwa wa watu waliokuwa wakimfuata, kumbuka wote hao kila mmoja…

KUWA WEWE.

Shalom, Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Neno la Mungu..Ni muhimu kila mmoja wetu kuzaliwa mara ya pili na kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu, na kazi…