DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao;

SWALI: Biblia ina maana gani kusema maneno haya kwa habari ya mitume? Matendo 5:13 “hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao; ila watu waliwaadhimisha;” JIBU: Tusome habari hiyo tena; Matendo ya…

Neno Kupatiliza maana yake nini katika biblia?

Kupatiliza ni neno lenye maana ya “kupiga/kuadhibu ”..mfano badala ya kusema “fulani, kapigwa na Mungu, unaweza kusema fulani kapatilizwa na Mungu” Lakini swali la kujiuliza ni je!..Mungu huwa anapiga watu…

KUNA AINA NGAPI  ZA MAOMBI?

Yapo maombi ya namna tofauti tofauti, lakini yote  ni lazima yaangukie katika mojawapo ya makundi haya Matano (5). 1)   Kusifu na Kuabudu. Wengi hawafahamu kama sifa zetu ni maombi yanayojitegemea…

Biblia inamaana gani iliposema “Dhambi ilipozidi, Neema ilizidi kuwa nyingi Zaidi”.

Jibu: Tusome.. Warumi 5:20 “Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; NA DHAMBI ILIPOZIDI, NEEMA ILIKUWA NYINGI ZAIDI”. Ili tuweze kuelewa vizuri labda tujifunze katika mfano mmoja au…

UAMINIFU NI KIGEZO KIKUBWA CHA KUTUMIWA NA MUNGU.

Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, utukufu na heshima vina yeye milele na milele.AMEN. Nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Mungu, na leo tutaona vile uaminifu unavyomshawishi…

Hazina za gizani ni zipi? (Isaya 45:3).

Jibu: Tusome, Isaya 45:3 “nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa…

Ulafi ni nini kibiblia?

Kikawaida ulafi ni tabia ya kupenda kula kuliko pitiliza, Sio vibaya kula, na pia sio dhambi kula na kushiba.. Lakini tabia hii inapovuka mipaka kiasi kwamba kila kitu kinachokuja mbele…

Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe;(Mithali 16:2)

SWALI: Naomba kufahamu nini maana ya huu mstari, Mithali 16:2 “Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali Bwana huzipima roho za watu”. JIBU: Kama vile Biblia inavyosema…

LAKINI SISI HATUKUIPOKEA ROHO YA DUNIA.

Biblia inasema.. 1 Wakorintho 2:10-12 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho…

Nyakati za kuburudishwa ni zipi? (Matendo 3:19).

Nyakati za kuburudishwa ni kile kipindi cha utawala wa miaka elfu moja. Kipindi hicho ni kipindi ambacho dunia itarejeshwa na kuwa kuwa nzuri zaidi hata ya Edeni, ni kipindi ambacho…