Jibu: Awali turejee mistari hiyo.. Isaya 7:17 “Bwana ataleta juu yako, na juu ya watu wako, na juu ya nyumba ya baba yako, siku zisizokuja bado, tangu siku ile aliyoondoka…
Wakati Herode anaua watoto kule Bethlehemu baada ya kuzaliwa YESU je roho iliyokuwa ndani yake ilikuwa inatoka wapi?.. Kama ni shetani, je shetani hakujua kama Yusufu na Mariamu wametoka na…
Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe, karibu tujifunze Biblia, Neno la MUNGU wetu lililo Taa na Mwanga wa njia zetu (Zab.119:105). 1 Petro 4:1 “Basi kwa kuwa Kristo aliteswa…
Mithali 29:9 Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu; Akikasirika au akicheka, pia hapana raha. Mstari huo kwa lugha rahisi tunaweza kuuweka kwa namna hii. “Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu, akijibu kwa…
Theolojia ni elimu ya kujifunza sifa za Mungu na mapenzi yake na jinsi anavyohusiana na wanadamu na ulimwengu kwa ujumla. Neno Theolojia limezaliwa kutoka katika maneno mawili ya kigiriki ‘theos’,…
Swali: Katika Matendo 1:7, tunaona Bwana anasema si kazi yetu kujua nyakati na majira ya kuja kwake, Lakini katika 1Wathesalonike 5:1-2 tunasoma Mtume Paulo akisema kuhusu nyakati na majira kuwa…
Matendo 17:28 Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake. 29 Basi, kwa…
Swali: Huyu yaya aliyeenda na Rebeka ni nani kama tunavyomsoma katika Mwanzo 24:59? Jibu: Turejee… Mwanzo 24:59 “Ndipo wakampeleka Rebeka ndugu yao, na YAYA wake, na mtumishi wa Ibrahimu, na…
Hii ni mistari ya biblia inayogusia utoaji wa sadaka wa namna mbalimbali. Sadaka kama ibada na utiifu. Mithali 3:9 Mheshimu Bwana kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako…
Swali: Katika kitabu cha Mwanzo tunaona viumbe vyote viliumbwa na Mungu kwa kutamka tu Neno!, lakini kwa mwanadamu haikuwa hivyo, alimwumba kwa mikono yake, je sababu ni nini? Jibu: Turejee…