DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Mungu anasema hatagharikisha dunia na maji tena,.Kwanini watu wanasema dunia itaangamizwa?

SWALI: Shalom watumishi wa Mungu Leo nina swali nataka niulize maana linanitatiza jambo hili ni kutoka kitabu cha Isaya.  Isaya 54:9 “ Kwa maana jambo hili limekuwa kama maji ya Nuhu…

Mstari huu una maana gani? “Tupa chakula chako usoni pa maji; Maana utakiona baada ya siku nyingi”. (Mhubiri 11:1)

JIBU: Shalom, utaona katika mstari huo anatumia neno “Tupa” na sio hifadhi au weka, ikiwa na maana ya kupoteza kitu chako cha thamani, chakula chako, na hapo anaendelea kusema kitupe…

Maneno haya yana maana gani? “Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu HAMTOI ROHO KWA KIPIMO. (Yohana3:34)”

JIBU: Tukianzia mistari ya juu anasema:  Yohana 3:31 “Yeye ajaye kutoka juu, huyo yu juu ya yote. Yeye aliye wa dunia, asili yake ni ya dunia, naye anena mambo ya duniani.…

Je! ni halali kutoa cheti kwa wakristo wanaooa?

JIBU: Ndio ni halali, Tunapaswa tutofautishe kati ya yale maagano ya mwilini na yale ya rohoni. Tunapookoka na kubatizwa katika ubatizo halali, hapo ni sawa na tumefungishwa ndoa na kuwa…

Ni kwa jinsi gani Mungu anapatiliza maovu ya baba zetu sawasawa na Kutoka 20:5-6?

SWALI:Kule katika kitabu cha KUTOKA 20:5-6.Mungu alisema”NAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO.. Sasa hivi Baba wa Fulani akimwiba mke wa jirani yake na kumwua..Mungu Atawapatiliza adhabu hao watoto wa baba…

Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; Mstari huu unamaana gani?.

JIBU: Zipo thawabu za aina nyingi na tofauti tofauti katika biblia, Kuna thawabu za kukubali kushutumiwa au kuteswa kwa ajili ya Kristo (Luka 6:22),Si wengi wanazipenda hizi, Kuna thawabu ya kutenda mema (Luka…

Shetani anatolea wapi fedha, angali tunajua Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana?.

SWALI: Watu hawa wanao mtumaini shetani na kupata utajiri na Mali, shetani anavitoa wapi?, Na wakati Neno linasema Mali na fedha na dhahabu ni vya Mungu?, Wakolosai 1 :16-17 je shetani…

Kwanini, tuimbe, je! kuna ulazima wowote wa kufanya hivyo?

SWALI: Bwana Yesu asifiwe wingu la mashahidi. Nmekutana na swali naomba upana wa somo hili. Kwa nini tunaimba na kuna sura nyingi zinasisitiza kuimba mfano Luka 19 :37-38 na vitabu…

Je! mbinguni kuna malaika wa kike?. Na je! tukifika mbinguni tutafanana wote?

JIBU: Neno jinsia kwa mara ya kwanza limeonekana kwa wanadamu, Pale Mungu alipomtoa Hawa ubavuni mwa Adamu na kumwita jina lake mwanamke, hapo ndipo jinsia mbili zilipozaliwa yani ya kike na…

Yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake.

SWALI: Mstari huu una maana gani? “yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake, yuko na mtu mwovu azidishaye maisha yake katika udhalimu wake.(Mhu 7:15)” JIBU: Shalom,Tukianza na mstari wa 15…