DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali ni chukizo kwa BWANA.

SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 20:10 Vipimo mbalimbali, na pishi mbalimbali, Vyote viwili ni chukizo kwa BWANA. JIBU: Ni mstari unaolenga ubadhilifu katika biashara au maisha…kwamfano labda mtu ni…

SALA YA BWANA. (Namna ya kuiomba)

Sala ya Bwana ni sala ambayo Bwana wetu Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake, kabla ya kuondoka kwake. Na kwa kupita sala ile, hakuwafundisha tu wanafunzi wake bali alitufundisha na sisi…

WANAWAKE WAOMBOLEZAJI

(Masomo maalumu kwa wanawake) Wanawake waombolezaji maana yake nini?, Na je hadi leo wapo?, au wanapaswa kuwepo?. Kabla ya kuingia ndani kuhusiana na wanawake waombolezaji, hebu tujue kwanza maana ya…

BWANA UNIJULISHE MWISHO WANGU.

Karibu tujifunze biblia.. Daudi anasema.. Zaburi 39:4 “Bwana, unijulishe mwisho wangu, Na kiasi cha siku zangu ni kiasi gani........” Hapa si kwamba Daudi anataka aijue siku ya kufa kwake!, Hapana!,…

Nijapokuwa sipo kwa mwili, lakini nipo pamoja nanyi kwa roho,

SWALI: Mtume Paulo alikuwa na maana gani kusema.. Wakolosai 2:5  “Maana nijapokuwa sipo kwa mwili, lakini nipo pamoja nanyi kwa roho, nikifurahi na kuuona utaratibu wenu na uthabiti wa imani…

Biblia inasemaje kuhusu Nywele?

Biblia imetoa maelekezo kuhusu Nywele kwa jinsia zote mbili (Ya kike na Kiume). JINSIA YA KIUME: Biblia inasema Mwanaume hapaswi kuwa na Nywele ndefu.. kwasababu kichwa chake yeye ni Utukufu…

Biblia inasemaje kuhusu Kazi?

Jibu: Biblia imetuelekeza kufanya kazi za Mikono, ambayo kupitia hiyo Mungu atatupa riziki zetu za kila siku. 1Wathesalonike 4:11  “Tena mjitahidi kutulia, na kutenda shughuli zenu, na kufanya kazi kwa…

Miji ya Tiro na Sidoni ni miji gani kwasasa?

Jibu: Tiro na Sidoni ni miji iliyokuwa katika nchi inayoitwa LEBANONI. Tofauti na nchi nyingine ambazo zilibadilika majina baada ya miaka mingi kupita, lakini nchi ya Lebanoni, imeitwa kwa jina…

tofauti iliyopo kati ya Imani na ujasiri, ni ipi?

SWALI: Bwana Yesu asifiwe, naomba kufahamu tofauti iliyopo kati ya Imani na ujasiri. Ujasiri ni ile hali ya kuweza kukabiliana na tatizo au shida, au changamoto Fulani, (uwezo wa kuushinda…

Je jina Eva na Hawa ni sawa?

Swali: Katika Mwanzo 3:20 na Mwanzo 4:1 mkewe Adamu ni Hawa. Nmekuwa nikisikia mkewe Adamu pia ni Eva. Je! jina Eva na Hawa ni sawa? Jibu: Hawa na Eva ni…