DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MZAZI, JALI MAISHA YA KIROHO YA MTOTO WAKO.

Kuna pepo moja lililowasumbua sana mitume wa Yesu, hilo halikuwa sawa na pepo mengine waliyokutana nayo, walihangaika nalo mchana kutwa lakini hawakufua dafu mpaka alipokuja Bwana Yesu mwenyewe kulikemea na…

JE NI LAZIMA KUBADILISHA JINA BAADA YA KUOKOKA?

Jina la Bwana wetu Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za hayo majina. Ni muhimu kufahamu sana hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa…

Kwanini wale dubu waliowauwa vijana wa Elisha walikuwa wa kike?

SWALI: Bwana Yesu apewe sifa Ukisomo kitabu cha 2 WAFALME 2:24 napenda kuelewa mbona pale wanatokea dubu wawili wa kike mwituni na sio wa kiume? 2Wafalme 2:24 “Akatazama nyuma akawaona,…

GOGU NA MAGOGU, Katika biblia ni nani?

Neno Gogu na Magogu limeonekana sehemu mbili katika biblia, Sehemu ya kwanza ni katika kitabu cha Ezekieli 38:2, na katika Ufunuo 20:8. Sasa ni vizuri kujua kwanza Magogu ni nini,…

Wevi na wanyanga’anyi waliomtangulia Yesu walikuwa ni wapi?

SWALI: Bwana Yesu asifiwe mtumishi habari ya uzima, samahani nini swali;  Yohana 10:7-8 inasema; “7 Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo. 8 Wote walionitangulia…

Masuke ni nini? (Luka 6:1, Marko 4:28)

Masuke ni nini  katika biblia? Masuke ni ile sehemu ya nafaka inayotoa ua na mbegu ndani yake, Kwamfano Ngano suke lake linachipuka kwa pale juu, tazama picha, na nafaka kama…

Nini maana ya “heri mtu asiyekaa barazani pa wenye mizaha?”

 SWALI: Zaburi 1:1 inasema ..“heri mtu asiyekaa barazani pa wenye mizaha”. Je, ni mizaha gani inaongelewa hapo na kuna tofauti gani kati ya Utani na mizaha, na Kama hamna tofauti…

Mlango uitwao “Mzuri” Unaozungumziwa katika Matendo 3:2 ndio upi?

Tusome.. Matendo 3:1  “Basi Petro na Yohana walikuwa wakikwea pamoja kwenda hekaluni, saa ya kusali, saa tisa. 2  Na mtu mmoja aliyekuwa kiwete toka tumboni mwa mamaye alichukuliwa na watu,…

USINIE MAKUU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, Karibu tujifunze biblia. Neno la Mungu linasema katika.. Warumi 12:3 “Kwa maana kwa neema niliyopewa namwambia kila mtu aliyeko kwenu ASINIE MAKUU KUPITA…

Neema ni nini?

Neema ni nini kibiblia? Neema ni “upendeleo usio na sababu” au kukubaliwa kusikostahili. Upo upendeleo wenye sababu na usio na sababu. Mfano wa upendeleo wenye sababu ni huu tulionao sisi…