DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JINA LAKO NI LA NANI?

Bwana Mungu alipowaumba Adamu na Hawa, tunafahamu hakuwaumba wote kwa wakati mmoja, bali alianza kumuumba Adamu kwanza kisha Hawa baadaye, Ndoa ya Adamu na Hawa  ndio ndoa ya kwanza  kabisa…

TUNAYE MWOMBEZI.

Maombolezo 3:22 Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. 23 NI MPYA KILA SIKU ASUBUHI; Uaminifu wako ni mkuu. 24 Bwana ndiye fungu langu, husema nafsi…

MJUE SANA YESU KRISTO.

Moja ya jukumu la muhimu sana la kufanya baada ya kuzaliwa mara ya pili, ni kuzidi kumjua Yesu Kristo kwa undani, kwasababu Agano jipya lote linamuhusu Yesu Kristo, kiini chote…

DALILI ZIPI ZITAMTAMBULISHA MTU KUWA AMEFANYIKA KIUMBE KIPYA?

Mtu anapozaliwa mara ya pili, siku hiyo hiyo anafanyika kuwa kiumbe kipya, na mtu aliyezaliwa mara ya pili ni lazima awe ametubu dhambi zake kwanza kwa kumaanisha kuziacha kabisa, kisha…

TAWI LIZAALO HULISAFISHA ILI LIZIDI KUZAA.

Yohana 15.1 “Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.  2 KILA TAWI NDANI YANGU LISILOZAA HULIONDOA; NA KILA TAWI LIZAALO HULISAFISHA, ILI LIZIDI KUZAA  3 Ninyi mmekwisha…

NGUVU YA MUNGU YA UUMBAJI

Katika kitabu cha mwanzo tunasoma, baada ya Bwana Mungu kuumba mbingu na nchi na viumbe vyote alistarehe siku ya saba, biblia inasema hivyo katika.. Mwanzo 2: 1 “Basi mbingu na…

IKO NJIA IONEKANAYO KUWA SAWA MACHONI PA MTU.

Mwanzoni kabla sijaokoka nilidhani ndani ya moyo wangu kuwa Mungu hataweza kunihukumu mimi, nilidhani ndani ya moyo wangu kuwa ijapokuwa ninamuudhi Mungu sasa lakini mwisho wa siku ataniokoa tu, kwasababu…

MNGOJEE BWANA

KUNGOJA maana yake ni kukaa katika hali ile ile huku ukisubiria kitu ulichokuwa unakitarajia kifike mara, na tunajua kwa namna ya kibinadamu, kungojea kitu Fulani kwa muda mrefu huwa kunachosha,…

SAMEHE KUTOKA NDANI YA MOYO WAKO.

Moja ya dhambi zinazowaangusha wengi ni “kutokusamehe”. Na hii inatokana mara nyingi na kutokuelewa nini maana ya msamaha. Ni rahisi kujilazimisha kusamehe lakini kama msamaha haujatoka ndani basi huo sio…

UNAWAFAHAMU MANABII WA UONGO?

Mathayo 7:15 "Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba,…