Gumegume ni jamii ya miamba ambayo ni migumu sana, inapatikana huko maeneo ya mashariki ya kati sana sana nchi ya Palestina. Zamani ilitumika katika kutengeneza vifaa, kama nyundo, mashoka, visu,…
Tusome, 2Timotheo 2:16 “Jiepushe na maneno yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu, 17 na neno lao litaenea kama DONDA-NDUGU. Miongoni mwa hao wamo…
Kukana ni kitendo cha kumkataa mtu aliyekaribu nawe, kwa hofu/shinikizo Fulani pengine aidha kwa hofu ya kuaibishwa, au kudharauliwa, au kuuliwa au kutengwa, au kuchekwa n.k. Lakini kimsingi sio kwamba…
Jibu: Tusome, Wafilipi 2:1 “Basi ikiwako faraja yo yote katika Kristo, yakiwako MATULIZO YO YOTE YA MAPENZI, ukiwako ushirika wo wote wa Roho, ikiwako huruma yo yote na rehema, 2…
Huduma hizi 5 tunazisoma katika kitabu cha Waefeso.. Waefeso 4:11 “Naye alitoa wengine kuwa MITUME, na wengine kuwa MANABII; na wengine kuwa WAINJILISTI na wengine kuwa WACHUNGAJI na WAALIMU”. Na…
Kusemethi au kusemethu ni nafaka inayokaribia kufanana sana na Ngano kimwonekano na kiladha. Nafaka hii ni familia moja na nafaka ya Ngano. Miaka ya zamani kabla ya Kristo, nafaka ya…
Ijumaa kuu ni ijumaa ya mwisho kabisa ya Bwana wetu Yesu Kristo kuwepo hapa duniani, ni siku ile ambayo alipitia mateso mengi, na kusulibiwa, na kufa na kisha kuzikwa. Siku…
Swali: Katika Kumbukumbu 28:53, tunaona Mungu anasema watu watakula nyama za wana wao, na uzao wa tumbo lao, je alikuwa anamaanisha nini kusema hivyo?. Jibu: Tusome, Kumbukumbu 28:53 “Nawe utakula…
Na je tunaruhusiwa kuisheherekea? Jibu: Pasaka ni sikukuu ya kiyahudi, ambayo ilianza kuadhimishwa kipindi wana wa Israeli wanatoka nchi ya Misri, wakati ambao Mungu aliwaambia wapake damu ya mwanakondoo katika…