Kuota mtu amekufa au ndugu amekufa. Wakati mwingine unaweza ukaota umefiwa na mzazi, au kaka au dada, au mtu wako wa karibu sana. Na ndoto hizi huwa zinakuja kwa uzito…
Kwaresma ni nini?..Je! Kwaresma ipo katika Maandiko?..Na je ni lazima kufunga Kwaresma?, ni dhambi kuikatisha kwaresma? na je! ni dhambi kuishika kwaresma? Neno Kwaresma limetokana na Neno la kilatini (Quadragesima)…
Jumatano ya majivu, ni mojawapo ya mapokeo ya kanisa katoliki..ambapo Ni kipindi cha mwanzo wa mfungo wa siku 40... Siku hii yanachukuliwa "matawi ya Mitende" na kuchomwa mpaka yawe jivu.…
Siku zote Mungu akitaka kumuokoa mtu neema yake huwa anaizidisha sana kwa kiwango cha juu kiasi kwamba kwa nje ni rahisi kuona kama anatumia nguvu, au analazimisha ndivyo ilivyokuwa kwa…
Yesu Kristo Bwana wetu...Amefufuka kweli kweli.. Kila tukio lililokuwa linatendeka wakati wa kusulubiwa kwa Bwana Yesu, wakati wa kuzikwa kwake na wakati wa kufufuka kwake lilikuwa na makusudi maalumu na…
Kaini baada ya kumuua ndugu yake Habili, tunasoma pale Mungu alimlaani, na kumwambia.. “utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani”… Lakini tujiulize ni kwanini…
Je! Ni wakina nani hao katika (Mathayo 16:28) ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja? JIBU: Tusome.. Mathayo 16:27 “Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake…
Historia fupi ya Rozari kama inavyosomwa na kanisa katoliki.(kulingana na wakatoliki inajulikana kama Rozari takatifu) Rozari asili yake ni neno la kiingereza "rosary" lenye maana ya "bustani ya maua ya…
SWALI: Ndugu zangu Huyu Mariamu MAGDALENE ni nani?"..Je! Magdene ni jina la baba yake au ni Jina la ukoo wake?. JIBU: Mariamu Magdalene( wengine wanamwita Magdalena) ni yule mwanamke ambaye…
Tuwaonapo nzige wa jangwani ni nini tunajifunza? Shalom.. Karibu tuongeze jambo lingine kuhusu ufalme wa mbinguni.. Bwana Yesu alipotuambia utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake…Alimaanisha kweli ufalme huo ili…