DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NI KWA NAMNA GANI ROHO HUTUTAMANI KIASI CHA KUONA WIVU?

Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze maandiko. Yapo mambo kadhaa ya kujikumbusha pale tunapokuwa wakristo. Ni lazima tujue kuwa Tunaposema tumeokoka, maana yake ni kuwa  tunakuwa…

NAWAAMBIA MAPEMA!

Jina la Bwana wetu Yesu, libarikiwe. Yapo mambo mengi ambayo yatawafanya wanadamu wengi wasiurithi uzima wa milele siku ile. Wakidhani wapo sawa na Mungu, na kwamba wanampendeza Mungu lakini itakuwa…

Neno “Via” linamaanisha nini katika biblia?

Kibiblia via ni viungo vya mwili wa mwanadamu au mnyama,, husasani  mikono au miguu. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolitaja Neno hilo; Ayubu 17: 7 “Jicho langu nalo limekuwa giza…

WAENDEE WANA WA ISAKARI, UWE SALAMA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima, na leo tena kwa neema za Bwana tutajikumbusha juu ya mambo ya msingi ya kuzingatia siku hizi…

Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19)

Nyungu ni nini? Nyungu ni nini kibiblia?(Ayubu 41:20,31, Waamuzi 6:19) Nyungu ndio  Chungu kwa jina lingine, kibiblia kilitumika kuchemshia maji, nyama, nafaka, mboga mboga n..k Unaweza kulisoma Neno hili katika…

Kulabu ni nini katika biblia?(2Wafalme 19:27)

Kulabu ni nini katika biblia? Kulabu ni aina ya ndoano, tofauti na ile ya kuvulia samaki hii ni ile inayotumiwa kushikilia vitu, kama vile mapazia, mashuka, nguo n.k., tazama picha…

Ni vitu vipi hivyo viwili visivyoweza kubadilika? (Ebr 6:18)

SWALI: Naomba kuuliza, huu mstari una maana gani? "..VITU VIWILI visivyoweza kubadilika ambavyo kwa hivyo Mungu hawezi kusema uongo"?! (Waebrania 6:18). JIBU: Shalom.. Tusome… Waebrania 6:17  "Katika neno hilo Mungu,…

Kwanini madhabahu zilitengenezwa kwa mawe yasiyochongwa?

SWALI: Kwanini Musa aliagizwa awaambie wana wa Israeli watengeneze madhabahu kwa mawe yasiyochongwa? Kwanini yawe mawe yasiyochongwa? JIBU: Tusome vifungu vyenyewe; Kutoka 20:24 “….. kila mahali nitakapotia ukumbusho wa jina…

Kuchelea ni nini?(2Wakorintho 11:3)

Nini maana ya neno kuchelea kama tunavyolisoma katika biblia? Kuchelea ni hofu au wasiwasi, husanani ule unaotokana na kuzuka kwa madhara Fulani. Kwa mfano tusome mstari huu; 2Wakorintho 11:2 Maana…

Kutahayari ni nini katika biblia?(2Timotheo 2:15)

Kutahayari maana yake ni kuweka katika aibu, kuaibisha, kuaibishwa, kuaibika. Hivi ni baadhi ya vifungu vinavyolieeleza Neno hilo; 2Timotheo 2:15 “Jitahidi kujionyesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mtenda kazi asiye na…