DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kwanini Bwana Yesu aliwaambia wanafunzi wake wasichukue chochote isipokuwa fimbo tu?

Jibu: Tusome. Marko 6.7  “Akawaita wale Thenashara, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu; 8  akawakataza wasichukue kitu cha njiani ISIPOKUWA FIMBO TU; wala mkate, wala mkoba,…

MAAGIZO AMBAYO HAYAJAAGIZWA!

Shalom! karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu wetu, taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia yetu, iendayo mbinguni. Katika biblia tunaona yapo maagizo mengi ambayo Mungu wetu ametupatia Moja…

USIJITUMAINISHE JUU YA SIRA YAKO ANGALI UPO KATIKA DHAMBI.

Yeremia 48:11 “MOABU AMESTAREHE TANGU UJANA WAKE, NAYE AMETULIA JUU YA SIRA ZAKE, WALA HAKUMIMINWA KUTOKA CHOMBO KIMOJA KUTIWA CHOMBO KINGINE, wala hakwenda kufungwa; kwa hiyo ladha yake anakaa nayo,…

ONDOA TAKATAKA KATIKA FEDHA, NA CHOMBO KITATOKEA KWA MTAKASAJI.

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu. Biblia inatuambia..  “Ondoa takataka katika fedha, Na chombo kitatokea kwa mtakasaji; (Mithali 25:4) Tunapoiona dhahabu au madini mengine yote, yanang’aa sana, mpaka kufikia kiwango…

Je ni kweli siku ya mwisho dunia itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni?

Jibu: Hakuna mstari wowote katika biblia takatifu unaosema kwamba dunia siku moja itakunjwa kama karatasi na kutupwa motoni. Mstari ambao unawachanganya wengi ni ule wa Isaya 34:4 unaosema.. Isaya 34:4…

Je! Mwandishi wa kitabu cha Warumi alikuwa ni Paulo au Tertio?

SWALI: Je! Mwandishi wa kitabu cha Warumi alikuwa ni Paulo au Tertio? kulingana na mstari huu; Warumi 16:22 “Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana”. JIBU: Paulo katika maneno…

JIFUNZE KUSEMA NA MUNGU KATIKA HALI ZOTE.

Kumbuka Mungu yupo katika masumbufu, Na pia Mungu yupo katika utulivu. Katika majira yote na wakati wote jifunze kuzungumza na kuisikia sauti ya Mungu. Unaweza ukajiuliza ni kwanini Mungu alimtokea…

Je Musa yupo anawashitaki watu..kulingana na Yohana 5:45?

Tusome, Yohana 5:45  “Msidhani kwamba mimi nitawashitaki kwa Baba; yuko anayewashitaki, ndiye Musa, mnayemtumaini ninyi. 46  Kwa maana kama mngalimwamini Musa, mngeniamini mimi; kwa sababu yeye aliandika habari zangu. 47 …

Nini maana ya usimfunge ng’ombe kinywa apurapo nafaka!.(Kumbukumbu 25:4)

Jibu: Neno kupura maana yake ni “kutenganisha mbegu ya nafaka kutoka katika suke lake”. Kwamfano tunapozitoa punje za ngano, au mchele kutoka katika masuke yake, hapo tunakuwa tumezipura hizo nafaka,…

Kwa herufi gani kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe.

SWALI: Mtume Paulo alikuwa na maana gani kusema kwa herufi gani hii kubwa nimewaandikia kwa mkono wangu mimi mwenyewe? Wagalatia 6:11 “Tazameni ni kwa herufi gani kubwa nimewaandikia kwa mkono…