DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Nini maana ya “Siku moja nyuani mwa Bwana ni bora kuliko siku elfu”?

SWALI: Naomba kufahamu maana ya Neno hili, maana huwa nalisoma silielewi.. (Zaburi 84:10 “Hakika siku moja katika nyua zako Ni bora kuliko siku elfu. Ningependa kuwa bawabu nyumbani mwa Mungu…

KAMA ZILIVYOKUWA SIKU ZA NUHU NA ZA LUTU.

Luka 17:26 “Na kama ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa katika siku zake Mwana wa Adamu.27 Walikuwa wakila na kunywa, walikuwa wakioa na kuolewa, hata siku ile Nuhu aliyoingia katika…

NGUVU ZA MUNGU

Nguvu za Mungu ni nini?, Nguvu ya Imani ni nini? Na jinsi gani ya kupokea nguvu za Mungu.. Karibu tujifunze maswali haya machache.. NGUVU ZA MUNGU NI NINI? Kabla ya…

KUOTA MAFURIKO,KUOTA MAJI MENGI,KUOTA MAWIMBI.

Naomba kufahamu Je! Kuota mafuriko ni kiashiria cha nini? Mafuriko kazi yake si nyingine Zaidi ya kugharikisha, tofauti na mvua ambayo kazi yake ni kustawisha na kuleta mazao.. Hivyo ikiwa…

JINSI MUNGU ANAVYOIPIGA NA KUIPONYA AFRIKA.

Leo hii dunia nzima inaishangaa Afrika kwa mambo mawili makuu : La kwanza ni umaskini wake, na pili jinsi lilivyojikita katika mambo ya Imani . Bara pekee lenye idadi kubwa…

MJUMBE WA AGANO.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe..karibu tujifunze Biblia… Malaki 3: 1 “Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijilia hekalu lake ghafula; naam, yule…

NINI TOFAUTI KATI YA KARAMA, UTENDAJI KAZI NA HUDUMA.

Nini tofauti kati ya karama ya rohoni, utendaji kazi na huduma?. Vitu hivi vitatu ni ni ni hasa? Shalom.Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu tuongeze maarifa katika kujifunza Neno…

Je! Shetani alitolea wapi uovu?

SWALI: Ikiwa Mungu aliviumba viumbe vyake vikiwa vikamilifu Je! Shetani alitolea wapi uovu?. Na Je! ni nani aliyeiumba  dhambi?. JIBU: Kitu chochote kizuri tunachokiona,  mpaka tumejuwa kuwa ni kizuri basi…

KIFO CHA MTAKATIFU POLIKAPI (Policarp).

Tunaweza kujifunza nini juu ya Kifo cha Mtakatifu Polikapi? Polikapi aliishi kati kipindi cha mwaka 69-159 WK. Alikuwa ni askofu wa kanisa la Smirna ambaye alikuwa pia ni mwanafunzi wa…

JE UNAMTHAMINI BWANA?

(Je unamthamini Bwana?) Jina la Bwana libarikiwe…Karibu tujifunze maandiko… Neno la Mungu ni Mwanga wa njia yetu ielekeayo mbinguni na Taa iongozayo miguu yetu katika safari yetu ya mbinguni. (Zab…