DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

ZABURI 91, NI ZABURI YENYE NGUVU NYINGI.

Zaburi 91, Ni Zaburi iliyo ya kipekee sana yenye nguvu, Na shetani analijua hilo, ukitaka kuamini jiulize, ni kwanini Shetani aliitumia Zaburi hii kumjaribu Bwana,? Kiasi kwamba mtego wake ungekubali…

YAKINI NA BOAZI.

Shalom, jina la Bwana wetu libarikiwe daima. Neno linatuambia.. “Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi..” (Maombolezo 3:22-23). Na wewe usomaye…

JE KIFO NI NINI? NA JE KUNA AINA NGAPI ZA VIFO?

Je Kifo ni nini? Na kuna aina ngapi za vifo? Kifo ni pale uhai unapoondoka ndani ya  kiumbe hai chenyewe. Kwa ufupi kifo ni Mwisho wa Maisha ya mwilini. Lakini…

KUABUDU SANAMU/IBADA ZA SANAMU.

Kuabudu Sanamu ni nini? Na ibada za sanamu ni zipi? Kuabudu sanamu: Katika  agano la kale ni kitendo chochote cha kwenda kuabudu au kusujudia, au kutumika kitu kingine chochote, tofauti…

Ni watu gani hao ambao mahali pao hapakuonekana?

Ni watu gani hao ambao mahali pao hapakuonekana? (Ufunuo 20:11) JIBU: Tusome.. Ufunuo 20:11 “Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu…

USINIPITE MWOKOZI Lyrics

Usinipite mwokozi Lyrics| Swahili, - "Pass me not, O Gentle Savior" Historia ya nyimbo Usinipite mwokozi. Wimbo huu uliandikwa mwaka 1868, na mwanamke wa kimarekani aliyeitwa Fanny Crosby. Mwanamke huyu…

NI SALAMA ROHONI MWANGU Lyrics

Ni salama rohoni mwangu lyrics- It is well with my soul. Nyimbo hii ilitungwa na mwanasheria mmoja mkristo aliyeitwa Horatio Spafford, alitunga wimbo huu kutokana na mambo mazito aliyoyapitia katika…

Mungu aliposema Yesu ni mwanawe pekee, alimaanisha hakuwa na wengine?

SWALI: Mungu aliposema Yesu ni mwanawe pekee, Je! Ina maana hakuwa na wana wengine au hana wana wengine zaidi yake? JIBU: Tusome.. Yohana 3:16 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda…

BWANA MUNGU NASHANGAA KABISA lyrics

BWANA MUNGU NASHANGAA KABİSA lyrics ~Swahili  (How Great Thou Art). Toleo la kwanza kabisa la Wimbo huu liliandikwa na mtu mmoja raia wa Sweden, aliyeitwa Carl Boberg wimbo huu aliuandika…

POPOBAWA NI KWELI YUPO?

Karibu tuongeze maarifa ya rohoni. Yapo maswali machache ya kujiuliza ambayo yanaendelea katika jamii yetu..maswali hayo ni je! popobawa ni nani? Na je popobawa ni kweli yupo?.. Popobawa kulingana na…