DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NINI MAANA YA SISI KUWA WATOTO WA MUNGU?

SWALI: Je Mungu anazaa?..Kama hazai kwanini sisi tunaitwa Watoto wa Mungu?..Je! Mungu ana mke?..na kama hana huoni kama ni kukufuru kusema kuwa sisi ni Watoto wa Mungu? JIBU: Swali hili…

MAONO YA NABII AMOSI.

Shalom mwana wa Mungu, karibu tujifunze tena maneno ya uzima. Amosi 3:7 “Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake”. Maneno haya aliyaandika nabii…

Kwanini wanawake wengi huwa wanalipuka mapepo?

SWALI: Naomba kufahamu ni kwa nini katika mikutano mingi ya injili na sehemu za makusanyiko kama mashuleni na sehemu zingine Wanawake ndio hupatwa sana na kusumbuliwa na mapepo? JIBU: Sababu…

WANA WA MUNGU, NA BINTI ZA WANADAMU.

Wana wa mungu, na binti za wanadamu,ni wakina nani leo hii? Biblia inaposema kama ilivyokuwa katika siku za Nuhu, Ndivyo itakavyokuwa katika siku za kuja kwake mwana wa Adamu (Luka…

DHIKI KUU INAKUJA NA UNYAKUO UPO KARIBU.

Shalom, karibu tujifunze Biblia Neno la Mungu… Roho Mtakatifu atusaidie leo tena katika kuyatafakari maneno yake.Kama tunavyojua kuwa matukio mengi ambayo yaliwahi kutokea nyakati za kale na kurekodiwa katika biblia…mengi…

Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati alialikwa?

SWALI: Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati naye pia alialikwa?. Inamaana wale wengine walipewa mavazi siku ile ya kuingia karamuni? Tusome: Mathayo 22:1  “Yesu akajibu, akawaambia tena…

KWANINI MUNGU ALIMTUMIA MUSA KWA VIWANGO VILE?

Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu. Lipo swali ambalo tunaweza tukajiuliza siku ya leo, ni kwanini miujiza yote ile mikubwa namna ile Mungu alimtumia musa kuifanya na si mtu mwingine?…Licha…

ITAFAKARI SIKU YA HUKUMU.

Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe…Sio vibaya tukajikumbusha mambo ambayo tulishawahi kujifunza huko nyuma au kufundishwa..Bwana katika agano la kale aliwazuia wana wa Israeli kula wanyama ambao hawacheui…kucheua…

MAMBO 5 AMBAYO KILA MKRISTO ANAPASWA KUFAHAMU.

Mambo 5 ambayo kila mkristo anapaswa kufahamu. NJIA IMESONGA. Kuvuka ng’ambo si kurahisi kama inavyodhaniwa na wengi. Mathayo 7:13  “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na…

MAJINI WAZURI WAPO?

Majini ni nini? Je kuna majini wazuri?, je pete za majini ni zipi? na namba za majini ni zipi?..Je kuna njia yoyote ya kupata utajiri wa haraka? JIBU: Kwanza ni…