Swali: Katika kitabu cha Luka 5:1-7 tunaona kuwa Bwana Yesu aliwakuta Petro na Andrea ufukweni na akawaita, lakini tukirejea kwenye Yohana 1:35-42 tunasoma kuwa aliwaita wakati wapo kwa Yohana Mbatizaji?..…
Manyoyota ni neno lingine la “manyunyu”. Manyunyu ya mvua kwa lugha nyingine yanaitwa “manyoyota” Ayubu 37:6 “Kwani huiambia theluji, Anguka juu ya nchi; Na vivyo manyonyota ya mvua, Na hayo…
Neno “kuguguna” linapatikana mara moja tu katika kitabu cha Ayubu 30:3 na maana yake ni “kutafuna” Ayubu 30: 2 “Naam, uwezo wa mikono yao utanifaa nini? Watu ambao nguvu zao…
Masomo maalumu kwa watumishi wa Mungu (Wahubiri). Je umebeba ushuhuda gani katika injili yako?. Tujifunze jambo kwa Yohana Mbatizaji.. Yohana 10:40 “Akaenda zake tena ng'ambo ya Yordani, mpaka mahali pale…
Wagalatia 6:1 'Ndugu zangu, mtu akighafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrejezeni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe'.…
Hizi ni dalili 9 za mtu mwenye pepo. 1.Hofu. Ukiona kuna hofu ndani yako isiyoisha, kila wakati unaishi katika hali ya wasiwasi wa kitu usichokijua wala usichokiona, kila wakati unapata…
Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu katika kuyatafakari maneno ya uzima. Leo tutaona Tabia Moja ya ahadi za Mungu, na Kwa kuijua hiyo basi itakutia moyo wewe…
Swali: Maandiko yanasema Mungu anaketi katika Nuru (1Timotheo 6:16 na Yohana 1:5) lakini yanasema tena Mungu anakaa kwenye giza (1Wafalme 8:12) Je yanajichanganya?. Jibu: Tuisome mistari hiyo kwanza kabla ya…
SWALI: Katika ule mlima mrefu, aliopanda Yesu na wanafunzi wake kuomba, kwanini atokewe na Musa na Eliya na sio manabii wengine? Mfano wa Isaya au Samweli? JIBU: Awali ya yote…
Jina la Bwana Yesu litukuzwe Daima. Nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya Mungu. Lipo andiko ambalo tunaweza kuona ni la kinyonge lakini linatiba kubwa sana kama tukilitumia. Embu tuone ni nini…