DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

MAJONZI YA MTUME PAULO KWA NDUGU ZAKE.

Ukisoma kitabu cha Warumi sura ya 9, ya 10, na ya 11..utaona mambo mazito sana mtume Paulo aliyokuwa akiyazungumza juu ya ndugu zake wayahudi. Akieleza jinsi neema ya Mungu ilivyoondolewa…

MSAMARIA MWEMA.

Msamaria mwema ni mtu wa nanma gani? Ni kauli ambayo tunaisikia katika jamii yetu mara kwa mara. Na hiyo inatokea pale mtu mfano amekumbana na matatizo au shida Fulani halafu…

ADAM NA EVA.

Adam na eva akina nani? Hawa ni wazazi wetu wa kwanza. Biblia inasema Mwanzo 1:27 “Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. …

WAFIRAJI KWENYE BIBLIA.

Je! biblia inasema nini juu ya wafiraji? Ufiraji ni Neno  linalojumisha kitecho chochote cha kumwingilia mwanadamu mwanzako  kimapenzi kinyuma na maumbile. Uwe unamwingilia mwanaume mwenzako (Ulawiti na ushoga),  Au uwe…

Ulokole ni nini? Na kwanini wakristo waliookoka wanaitwa walokole?

Ulokole/ Walokole wametoka wapi? JIBU: Kabla ya kwenda kujua maana ya ulokole, ni muhimu kujua kwanza maana ya neno ‘kanisa’..Tafsiri ya kwanza ya kanisa sio “jengo” bali ni “mkusanyiko wa…

MANENO ALIYOWEZA KUTAMKA YESU TU PEKE YAKE.

Yapo maneno ambayo huwezi kuzungumza, isipokuwa kwanza unaelewa vizuri ni nini unazungumza vinginevyo unaweza kujiweka kwenye kitanzi mwenyewe na kuingia matatizoni.. Kuna wakati Bwana aliwaambia wale watu wanaoshindana naye maneno…

AHADI ZA MUNGU.

Ahadi za Mungu ni za kweli kabisa,.. Lakini tatizo kubwa linalotukabili  sisi wanadamu ni kutokujua njia Mungu anazozitumia kutimiza ahadi zake. Na hiyo inawafanya watu wengi waishie kukata tamaa pale…

YEREMIA

Yeremia alikuwa ni nabii aliyezaliwa Israeli (Kwa asili alikuwa ni Myahudi)..na alitokea nyakati za mwisho mwisho kabisa, karibia na wakati wa Israeli kuchukuliwa mateka Babeli. Ni nabii aliyetabiri na kushuhudia…

Baraka za Mungu.

Baraka za Mungu zinakujaje? Ni vizuri kufahamu kuwa mafanikio sio Baraka, lakini Baraka zinaweza kupelekea mafanikio. Unaweza ukawa ni tajiri na ukafanikiwa na mali zako zikawa ni nyingi sana, lakini…

Yesu ni Mungu?, Na Kama ni Mungu kwanini alikufa?

SWALI: Je! Yesu ni Mungu? Na Kama ni Mungu kwanini alikufa? JIBU: Yesu alikuwa ni Mungu katika mwili (1Timotheo 3:16)...lakini hakuja kutafuta kuabudiwa wala kusujudiwa!...Mpaka Mungu amevaa mwili na kuja…