DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

YESU AKALIA KWA SAUTI KUU.

Yesu akalia kwa sauti kuu.. Wengi tunajiuliza ni maneno gani aliyatoa Bwana Yesu pale msalabani alipolia kwa sauti ya juu namna hiyo? Embu tusome vifungu vyenyewe; Marko 15:34 “Na saa…

Kuzimu kuna nini?

Kuzimu kuna nini? Kuzimu sio mahali pa kupatamani hata kidogo, wala sio mahali ambapo utatamani hata adui yako aingie.. Na ndio maana Bwana Yesu alisema maneno haya.. Marko 9:43  “Na…

Kuota upo na mtu maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu.

Kuota upo mtu na maarufu/kuota unaongea na mtu maarufu kuna maana gani? Ndoto zipo katika makundi makuu matatu, zipo ndoto zinazotokana na Mungu, pia zipo ndoto zinazotokana na shetani, halikadhalika…

KUOTA UNAKOJOA KITANDANI.

Kuota unakojoa kitandani kuna maanisha nini? Ndio ni kweli zipo ndoto zinazotokana na Mungu, na ni vizuri kuzifahamu hizo, na pia zipo ndoto zinazotokana na shetani pia hizo ni vizuri…

KUOTA UMEFUNGA NDOA.

Kuota umefunga ndoa  kuna maanisha nini? Ndoto ya namna hii mara nyingi inaangukia katika kundi la ndoto zinazozotokana na shughuli nyingi.. Mhubiri 5:3 “Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya…

MAOMBI NI NINI

Maombi ni nini? Neno maombi limetokana na neno kuomba, Kwamfano mtu unapokuwa na hitaji ya kitu Fulani, labda tuseme kazi, basi huwa unatuma maombi yako kwanza kwenye ofisi husika au…

 MAVUNO NI MENGI

Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache. Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujikumbushe baadhi ya mambo muhimu katika safari ya Imani. Tukiwa kama wakristo ni wajibu wetu kuifanya…

KUONGOZWA SALA YA TOBA

Kuongozwa sala ya toba. Ikiwa leo upo tayari kufanya uamuzi wa kumgeukia Yesu Kristo, na kutaka akuokoe na kukusamehe dhambi zako kabisa, Basi ni uamuzi wa busara sana ambao, utaufurahia…

BWANA WA MAJESHI.

Kwanini Mungu aitwe Bwana wa majeshi? Je! Ni kweli anayo majeshi au ni cheo tu amependa kujivika? Watu wengi hatufahamu kuwa Mungu anayo majeshi yake…Ni kweli hili jina limekaa sana…

MASERAFI NI NANI?

Yapo makundi tofauti tofauti ya Malaika wa Mbinguni.  Wapo Maserafi ambao ndio tutakaowazungumzia leo, wapo Makerubi (ambao ndani yake ndio alikuwa shetani), wapo wenye uhai wanne, wapo wazee ishirini na…