Moyo ni neno ambalo linaweza kuwakilisha aidha nafsi ya mtu au roho ya mtu, inategemea na linapotumika. Kwa kawaida hakuna lugha ya kuielezea nafsi ya mtu jinsi ilivyo, au roho…
Shalom, karibu tujifunze maneno ya uzima. Wengi wetu tunadhani Bwana Yesu alizaliwa akiwa na ufahamu kamili wa kila kitu, au ujuzi wa mambo yote, Hapana alizaliwa akiwa kama sisi kabisa,…
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, lakini kabla hatujaendelea, ningependa kwanza uzitafakari hizi habari mbili, kwasababu ndio kiini cha somo letu kilipo, zingatia sana sana hiyo mistari iliyowekwa katika herufi…
SWALI: Tofauti kati ya mtume na mwanafunzi ni ipi? Kwanini kuna mahali Bwana Yesu anawaita wale aliowaita mitume, na sehemu nyingine anawaita wanafunzi, tofauti yao ni ipi? Au ni kitu…
Jibu: Tusome kuanzia juu kidogo, Mathayo 6:1“ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.…
Jina la Bwana wetu, Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, neno la Mungu lililo hai, lenye nguvu na uwezo. Tunapomwamini Bwana Yesu na kubatizwa, na kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu,…
SWALI: Je! Mke wa ujana ni yupi.. Je! siruhusiwi kumwacha Rafiki yangu wa kike (Girlfriend) au wa kiume (Boyfriend) na kwenda kuwa na mahusiano na mwenzi mwingine, kwasababu yule wa…
Marko 8:34 “Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, Mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike na msalaba wake, anifuate. 35 Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake,…
Wakati ule Bwana Yesu anafufuka, utaona, lipo kundi la watu alilitokea akiwa kule kule Yerusalemu, lakini lipo kundi lingine alilipa masharti ni wapi atakapokutana nalo. Kwa mfano Yesu wale watu…
Neno “hiana” maana yake ni “usaliti” ule wa mapenzi. Endapo mtu mmoja akimwacha mke wake/mume wake na kwenda kufanya uzinzi , mtu huyo amefanya mambo ya hiana kwa mwenzake. Na…