(Masomo maalumu yahusuyo faida za matoleo). Jifunze kutoa sadaka!!, jizoeze kutoa sadaka, jitaabishe kutoa sadaka!!. Utoaji si agizo la washirika bali hata viongozi (wachungaji, waalimu, wainjilisti na watu wote wanaoujenga…
Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe. Upo umuhimu wa kuhubiri injili mahali popote na katika mazingira yoyote kwasababu ni agizo la Bwana mwenyewe (Mathayo 28:18-20). Wapo wanaoamini kuwa injili…
Tangu mwanzo mwanadamu alikuwa akijaribu kujiokoa kwa njia yake mwenyewe ikiwemo kuonyesha matendo yake mazuri, na mwenendo wake mkamilifu lakini hakuweza. Pengine aliweza kushinda wizi kikamilifu lakini uongo ukamshinda, aliweza…
Siuze ni ‘Sembuse’, kwa uandishi mwingine. Kwamfano mtu anaposema kauli hii “Kama Bwana Yesu alikuwa mwombaji siuze mimi, kuzidi hapo? .Ni sawa tu na kusema “Kama Bwana Yesu alikuwa mwombaji…
Zipo kanuni za ki-Mungu tunaweza kuzifuata na zikaleta matokeo kabisa halisi, lakini zisiwe na manufaa kwetu katika suala la wokovu. Sasa kabla ya kuangalia ni kwa namna gani? chukulia mfano…
SWALI: Naomba kufahamu ujumbe ulio katika Mithali 29:5 ‘Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. JIBU: Mithali hii inazungumzia madhara yanayoibuka katika tabia ya kujipendekeza. Kujipendekeza…
Swali: Biblia inasema tumepewa mboga za majani kuwa chakula chetu, na Bangi pia ipo miongoni mwa zao la mboga za majani…sasa kwanini iwe dhambi kulitumia kama mboga au kiburudisho cha…
Nehemia 8:10 Kisha akawaambia, Enendeni zenu, mle kilichonona, na kunywa kilicho kitamu, tena mpelekeeni sehemu yeye asiyewekewa kitu; maana siku hii ni takatifu kwa BWANA wetu; wala msihuzunike; KWA KUWA…
Usi!.. Usi!.. Usi! na sio Msi!… Msi!.. Msi!.. Amri za Mungu zinasema Usiue, Usizini, Usiibe … na sio Msiibe, Msiue, Msizini… Ikifunua kuwa Mungu anaongea na mtu mmoja mmoja… Anasema…
Kuna wakati Elisha alifika Gilgali na mahali pale palikuwa na njaa kali, na watu wengi (manabii) pia walikuwa wamekusanyika kusikiliza mashauri ya mtu wa Mungu. Hivyo akawaambia waweke sufuria motoni…