DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Kwanini Kristo hakuitwa Imanueli badala yake akaitwa Yesu?

SWALI: Unabii uliotolewa na Isaya kumuhusu Kristo unasema angekuja kuitwa Imanueli (Isaya 7:14), lakini badala yake tunaona alikuja kuitwa Yesu? Ni kwanini? JIBU: Tukisoma pale katika Mathayo 1:19-23 Inasema.. Mathayo…

Hakuna mtu anenaye katika Roho,kusema Yesu amelaaniwa

SWALI: Mstari huu una maana gani? 1 wakorinto 12:3 “Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hakuna mtu anenaye katika Roho wa Mungu, kusema, Yesu amelaaniwa; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni…

IF GOD IS IMPROVING HIS WORKS,WHY DON’T YOU IMPROVE YOURS?

Shalom. The Bible says: Man shall not live by bread alone, but by every word that proceedeth out of the mouth of God.That means if we diligently study the Word…

سؤال: ماذا كانت الشوكة في لحم بولس؟

سؤال: ماذا كانت الشوكة في لحم بولس؟ الجواب: دعنا نقرأ ، 2 كورنثوس 12: 7 "لئلا يرفعني فوق القياس من خلال وفرة الوحي ، أعطيت لي شوكة في الجسد ،…

What was the thorn in Paul’s flesh?

QUESTION: What  was the thorn in Paul's flesh? Ans: Let's read, 2 Corinthians 12:7 “ And lest I should be exalted above measure through the abundance of the revelations, there…

Tofauti kati ya kuungama na kutubu ni ipi?

Kuungama kunakwenda sambamba na kutubu. Kuungama ni kitendo cha kukiri, au kukubali makosa yako kuwa wewe ni mwenye dhambi au ulikosa na hivyo unahitaji kusamehewa. Mathayo 3:5 "Ndipo walipomwendea Yerusalemu,…

KILA KIUNGO LAZIMA KISHUGHULIKE.

Kanisa la Kristo limefananishwa na mwili wa binadamu. Kama vile mwili ulivyo na viungo mbalimbali, mfano mikono, miguu, macho, masikio, mdomo n.k. vikiongozwa na kitu kimoja cha muhimu kiitwacho kichwa.…

NA YEYE ALIYEKETI JUU YA WINGU AKAUTUPA MUNDU WAKE JUU YA NCHI, NCHI IKAVUNWA.

Jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Biblia inasema.. Ufunuo 14:14 “Kisha nikaona, na tazama, wingu jeupe, na juu ya wingu hilo ameketi mmoja, mfano wa Mwanadamu,…

 Je kualikwa kwenye sherehe za watu ambao si wakristo ni dhambi?

SWALI: Je ni sahihi kualikwa kwenye karamu za watu wasio wakristo (mfano waislamu kwenye sikukuu zao za eid au futari) na kula nao ni dhambi? JIBU: Swali hili jibu lake…

UUMBAJI BORA WA MUNGU, UPO NDANI YA MWANADAMU.

Habari ya uumbaji ina mafunzo mengi sana. Biblia inatuambia Mungu alimuumba mwanamume na mwanamke kwa mfano wake(Mwanzo 1:27). Lakini katika siku sita za uumbaji, Tunaona kulikuwa na uumbaji mmoja muhimu…