(Ukarimu na maziwa) Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo mwokozi wetu. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Haya ni mafunzo maalumu kwa ajili ya wanawake. Ikiwa utatamani kupata mengine mengi basi…
Msalaba ni kipande cha mti, kilichochongwa kwa kupishanishwa na kingine kwa juu. chenye lengo la kumuulia mwanadamu kwa kifo cha mateso. Tofauti na sasa, ambapo adhabu nyingi za kifo kwa…
Isaya 34:11 “KAATI na NUNGU wataimiliki, bundi na kunguru watakaa huko, naye atanyosha juu yake kamba ya ukiwa na timazi ya utupu”. Jibu: “Kaati” ni “bundi wa jangwani” (wanaoishi majangwani),…
Jibu: Tuirejee. Isaya 62:4 “ Hutaitwa tena ALIYEACHWA, wala nchi yako haitaitwa tena, UKIWA; bali utaitwa HEFSIBA; na nchi yako BEULA; kwa kuwa Bwana anakufurahia, na nchi yako itaolewa. 5…
Swali: Je kwanini Bwana YESU aseme Yuda ni shetani, na kwanini amchague shetani kama mwanafunzi wake? Jibu: Turejee.. Yohana 6:70 “Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, NA MMOJA WENU…
Kibiblia Neno laana linatafsiri kwa namna mbili. Namna ya kwanza, ni Kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la mwanadamu…
(Masomo maalumu yahusuyo Sadaka na Matoleo) Angalizo: Masomo haya hayana lengo ya kuhimiza matoleo, (Au kuwaweka watu katika mitego ya kutoa) bali yana lengo la kutoa elimu sahihi ya kiMungu…
Wakorintho 2:10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu. 11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu…
Karibu tujifunze Biblia, Neno la Mungu wetu lililo Mwanga wa Njia zetu, na Taa iongozayo miguu yetu (Zaburi 119:105). Neno hili lililo Taa linasema.. Yuda 1:5 “Tena napenda kuwakumbusha, ijapokuwa…
Swali: Neno “Kututa” lina maana gani kama tusomavyo katika Mhubiri 2:26? Jibu: Turejee.. Mhubiri 2:26 “Kwa sababu Mungu humpa yeye aliyemridhia hekima na maarifa na furaha; bali mkosaji humpa taabu,…