Tunguja ni aina ya mmea ambao haupatikani kirahisi, mmea huo una mizizi ambayo inakuwa na umbile kama la mtu. Kutokana na maumbile hayo ya mizizi ya mmea huo, kufanana na…
Neno kupiga kite limeonekana mara kadhaa katika biblia. Maana ya “kupiga Kite” ni kutoa pumzi nje, kuashiria aidha kushangazwa, kupata unafuu au kukata tamaa. Kwamfano mwanafunzi aliyekuwa anasubiria matokeo ya…
Mjoli ni mfanyakazi-mwenza, Ni mtu unayefanya naye kazi moja inayofanana.. Kwamfano kama wewe ni mwalimu, ukakutana na mwalimu mwenzako huyo ni mjoli wako...Kama wewe ni mhubiri ukakutana na mhubiri mwenzako…
Maandiko yanasema siku zetu za kuishi ni miaka70 tukiwa sana na nguvu ni miaka 80, sasa swali mbona kuna wengine wanaizidi hiyo miaka na kufikisha hata miaka 90? Tusome, Zaburi…
Ni wale wa wayahudi wa kimwili au kiroho?, yaani ni wale wazaliwa wa Uyahudi au wale walimomwamini Kristo Yesu na kufanyika kuwa wayahudi kwa namna ya rohoni. (Ufunuo 2:9, ufunuo…
SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “kila mtu atatiwa chumvi kwa moto.” (Marko 9:49) JIBU: Kama tunavyofahamu kazi kubwa ya chumvi ni kiungo, kiasi kwamba chakula kinaweza kikawa ni kizuri…
Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. Welcome to study the scriptures, the Word of our God which is a lamp to our foot, and a light to…
Blessed be the name of our Lord Jesus Christ. It is another time that God has given us to reach so I invite you to consider together the words of…