SWALI: Nini maana ya; Mithali 10:5 Akusanyaye wakati wa hari ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. JIBU: Kwa kawaida kipindi cha hari ( kiangazi),…
Jibu: "Wahivi" walikuwa ni moja ya mataifa saba (7) yaliyoondolewa na Israeli katika ile nchi ya ahadi. Mataifa mengine sita (6) yalikuwa ni Wakanaani, Wahiti, Wayebusi, Waamori, Waperizi na Wagirgashi…
Swali: Huyu Kuhani wa Oni ambaye binti yake aliolewa na Yusufu, tunayemsoma katika Mwanzo 41:45 je alikuwa ni kuhani wa Mungu au wa kuhani wa miungu ya kiMisri? Jibu: Terejee…
Jina la Bwana na Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe daima. Karibu katika mafundisho ya biblia, Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa Njia zetu (Zab.119:105). Zipo njia Mbili…
Hadhari ni nomino ya kitenzi tahadhari. Neno Lenye maana ya “uangalifu”. >Kwamfano mwalimu anayesahisha mitihani ya wanafunzi tunasema huwa na hadhari kubwa katika usahishaji. Kula bila hadhari ya usafi huweza…
Swali: Biblia inataja siri za Mungu katika 1Wakorintho 4:1, je hizi siri ni zipi na zipo ngapi? Jibu: Turejee, 1Wakorintho 4:1 “Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo,…
Adabu, ni kitendo cha kuonyesha staha, kufuata miiko, kuonyeshaAdabu ni nini biblia? ustaarabu mzuri kwa wengine. Adabu huonyeshwa kwa Mungu, lakini pia kwa wanadamu. Adabu kwa Mungu. > Ni pamoja…
Heshima ni kitendo cha kumpa mtu hadhi yake, au uthamani wake anaostahili. Kwa kawaida kila mwanadamu anastahili heshima. Na hivyo kama mwamini huna budi kujua jinsi ya kuigawanya heshima kulingana…
(Masomo maalumu kwa wazazi/walezi). Ni nini unafanya kama mzazi uwapo nyumbani?.. Je maisha yako ndani ya kanisa ni sawa na yale nje ya kanisa?..Je kile unachokifanya kanisani ndicho unachokifanya nyumbani?…je…
Mafundisho maalumu kwa watumishi wa Mungu na Watenda kazi wote katika shamba la Bwana. Maombolezo 2:19 Inuka, ulalamike usiku, Mwanzo wa makesha yake; Mimina moyo wako kama maji usoni pa Bwana; Umwinulie mikono…