DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JE SALA YA ROZARI TAKATIFU NI YA KIMAANDIKO?

Historia fupi ya Rozari kama inavyosomwa na kanisa katoliki.(kulingana na wakatoliki inajulikana kama Rozari takatifu) Rozari asili yake ni neno la kiingereza "rosary" lenye maana ya "bustani ya maua ya…

Mariamu Magdalene ni nani. Na hilo jina amelitolea wapi?

SWALI: Ndugu zangu Huyu Mariamu MAGDALENE ni nani?"..Je! Magdene ni jina la baba yake au ni Jina la ukoo wake?. JIBU:  Mariamu Magdalene( wengine wanamwita Magdalena) ni yule mwanamke ambaye…

TUWATAFAKARI NZIGE WA JANGWANI.

Tuwaonapo nzige wa jangwani ni nini tunajifunza? Shalom.. Karibu tuongeze jambo lingine kuhusu ufalme wa mbinguni.. Bwana Yesu alipotuambia utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake…Alimaanisha kweli ufalme huo ili…

USHAURI KWA MWANAMKE WA KIKRISTO.

Mwanamke wa Kikristo unapaswa ujue nini? Karibu tujifunze Biblia, ambayo ndiyo mwanga wa njia zetu na Taa iongozayo miguu yetu. Ujumbe huu unakuhusu wewe binti wa Mungu ambaye pengine una…

EWE MKE! HESHIMA YAKO IPO KWA WAKWE ZAKO.

Heshima na Baraka za mwanamke uliyeolewa zipo kwa wakwe zako (hususani mama mkwe wako). Vitabu viwili vikuu vilivyoitwa kwa majina ya wanawake ni Esta, na Ruthu. Vimeitwa hivyo sio kwasababu…

USIKIMBILIE TARSHISHI.

Usikimbilie tarshishi hakuna uzima Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu. Kama ni…

SAA YA KUHARIBIWA IIJIAYO ULIMWENGU WOTE.

Saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu wote Inakuja.. Ufunuo 3:10 “Kwa kuwa umelishika neno la subira yangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kuharibiwa iliyo tayari kuujilia ulimwengu…

Ni kura ya aina gani waliipiga wale watu waliosafiri na Yona?

Ni kura ya aina gani waliipiga wale watu waliosafiri na Yona..hata ikamwangukia Yona? Na je! Mungu anatumia kura kuchagua watu? JIBU: Biblia haijasema ni kura gani ilipigwa pale, kama ni…

SALA YA ASUBUHI

Sala ya Asubuhi inapaswa iweje?..Na je kuna sala ya jioni pia? Hakuna sala rasmi ya Asubuhi iliyotungwa kwamba watu wafuate mfumo wake lakini ni wajibu wa kila mtu anayeitwa mkristo…

Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao.

SWALI: Biblia inamaana gani kusema   "Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;nao wana hukumu kwa kuwa wameiacha imani yao ya kwanza".(1Timotheo…