Yakobo 5:7 “Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake Bwana. Tazama, mkulima hungoja mazao ya nchi yaliyo ya thamani, huvumilia kwa ajili yake hata yatakapopata mvua ya kwanza na ya…
Karibu tujikumbushe machache juu ya ujio wa Bwana Yesu, jinsi utakavyokuwa. Bwana Yesu alikuja mara ya kwanza miaka ile 2,000 iliyopita…Alizaliwa na Bikira Mariamu, akasulubiwa na wayahudi, akazikwa, akafufuka baada…
SWALI: Mimi Nina MUNGU Wangu ambae Ni ALLAH subhanallah...sasa kwanini nimkabidhi maisha Yesu wakati naye alizaliwa Kama mimi? JIBU: Mama yako alizaliwa kama wewe...lakini ilifika wakati Mwenyezi Mungu aliyakabidhisha maisha…
Question: After Cain killed his brother, we know from the bible he fled to the land of Nod. I want to know from there where did he get his wife?…
Mwisho wa dunia utakuwaje? Mwisho wa dunia maana yake ni hatua ambayo ustaarabu wa dunia utaifkia mwisho...Na mwisho wa dunia utahitimishwa na tukio moja kuu la vita vya HARMAGEDONI. Vita…
Ni mistari ipi shetani anapenda kuitumia kuwaangusha watu waliosimama? Shetani akitaka kumwangamiza mtu aliye mwamini Mungu, anachofanya ni anamchukua na kumpeleka juu sana,.. hamwachi pale alipo, kwasababu anajua mtu aliye…
Je kuna uislamu katika biblia? na je Muhamadi katika biblia katajwa wapi? Japokuwa Kristo anafahamika na kutajwa katika dini nyingi tofauti tofauti ulimwenguni ikiwemo uislamu lakini Biblia haijataja dini ya…
Kwanini Shetani ni joka wa zamani? Shalom, ni kwa neema za Mungu wetu tumeliona tena jua leo..wapo ambao hawakupata nafasi hiyo, hivyo hatuna budi kumshukuru sana Mungu wetu. Karibu tujifunze…
Who is the Holy Spirit? Many people wonder who the Holy Spirit is? The simple answer is that, the Holy Spirit is the Spirit of God. God has the Spirit…
Mafundisho ya ndoa, na mahusiano. Ikiwa wewe ndio kwanza unataka kuingia katika mahusiano Yapo mambo kadha wa kadha unahitaji kufahamu. Jambo la kwanza: ni lazima ujue njia sahihi ya kumpata…