JIBU: Tukisoma; Mathayo 12:25-32 " Lakini Mafarisayo waliposikia, walisema, Huyu hatoi pepo, ila kwa Beelzebuli mkuu wa pepo. 25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya…
SWALI: Naomba kufahamu Je! Kuna dhambi kubwa na ndogo, na kama hakuna je! Mtu aliyeua na aliyetukana je watapata adhabu sawa? JIBU: Dhambi ni dhambi iwe kubwa au ndogo,…
Ni nani anayetawala dunia kati ya Mungu na shetani?
Je! ni sahihi kuning'iniza picha nyumbani mwako kama ya Yesu?
Kwanini mtu afanye miujiza na bado asiende mbinguni?
Swali linaendelea... kulingana na huu mstari (1Wakoritho15:29) inaonekana kuwa wale wanaobatiza watu kwa ajili ya watu waliokufa zamani katika dhambi zao au kuwaombea, wapo sahihi na wanachofanya ni sawa kwasababu…