Swali: Katika kitabu cha Matendo 13:1, tunamsoma mtu mmoja akitajwa kama ndugu wa kunyonya wa Herode, je maana yake nini?. Jibu: Maana ya “Ndugu wa kunyonya” ni “mtu aliyelelewa katika…
Swali: Katika Mwanzo 22:17, MUNGU anasema kuwa uzao wa Ibrahimu utamiliki malango ya adui, sasa unamiliki vipi huo mlango wa adui?. Jibu: Turejee… Mwanzo 22:17 “katika kubariki nitakubariki, na katika…
Jibu: Turejee… 1Petro 4:12 “Wapenzi, msione kuwa ni ajabu ule msiba ulio kati yenu, unaowapata kama moto ili kuwajaribu, kana kwamba ni kitu kigeni kiwapatacho”. Neno “Msiba” kama linavyozungumziwa hapo…
Mithali 29:17 “Mrudi mwanao naye atakustarehesha”. Kumrudi mtoto sio “kumwadhibu tu”. Bali pia kumrekebisha (Kauli zake na njia zake). Ni kweli maandiko yanaruhusu kumwadhibu mtoto kwa kiboko pale anapokosea, lakini…
Swali: Hili lango la samaki linalotajwa katika Sefania 1:10 lilikuwaje na lilikuwa linahusika na nini?. Jibu: Yalikuwepo malango kadhaa ya Kulikuwa mji wa Yerusalemu nyakati za zamani, ambayo yalizunguka pande…
Ujio wa BWANA YESU duniani umegawanyika katika sehemu kuu Tatu (3). Sehemu ya Kwanza: Ni kuzaliwa kwake kupitia bikira Mariamu. Luka 1:30 “Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema…
Jibu: Msiche linatokana na Neno “kucha/kumcha”.. Na maana ya Neno “Kucha” ni “kuhofu”. Hivyo mtu anapomwofu “mtu”, maana yake anamcha huyo mtu, na pia anapomhofu MUNGU maana yake anamcha Mungu,…
Jina tukufu la Bwana YESU KRISTO libarikiwe. Je umewahi kutafakari kwanini mapigo yote tisa (9) aliyopigwa Farao bado moyo wake ulikuwa mgumu? Na kwanini lile pigo moja la mwisho la…
SWALI: Je! tunalisoma wapi kwenye maandiko panasema ndoa inapaswa ifungwe kanisani. Utaratibu huo upoje? JIBU: Ili kujibu swali hili tuanzie mbali kidogo. kufahamu ndoa ni nini? aina za ndoa, kisha…
Swali: Je Bwana YESU alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake Kulingana na Mathayo 12:29? Jibu: Turejee. Mathayo 12:29 “Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu…