DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

NAMNA BORA YA KUIOMBA SALA YA BWANA

Huu ni mwongozo maalumu ya njia bora ya kuiomba sala ya Bwana. Wengi wetu tunaiomba aidha kwa kukariri au kwa kukosa ufahamu wa jinsi ipasavyo kuombwa, kulingana na majira ya…

Simo ni mtu gani? (Ayubu 17:6).

Swali: Simo ni nini, au ni nani kama tunavyosoma katika Ayubu 17:6. Jibu: Tusome mistari hiyo mpaka ule wa saba (7). Ayubu 17:6 “Amenifanya niwe simo kwa watu; Nimekuwa mwenye kuchukiwa…

MMOJA APANDA, MWINGINE ATIA MAJI.

Huwezi kufanya kazi zote peke yako.. Aliyeunda injini ya gari, alihitaji mwingine mwenye ubobezi katika utengenezaji wa matairi, lakini pia alimhitaji mbobezi wa umeme wa magari, hivyo ili gari lisimame…

Hii ni maana ya Mathayo 6:29 hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo

SWALI: Naomba kufahamu nini maana ya vifungu hivi;  Mathayo 6:29 nami nawaambia, ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo. JIBU: Katika habari hiyo…

UCHAWI UNA GHARAMA, JIFUNZE KUMTOLEA MUNGU.

(Masomo maalumu yahusuyo faida za matoleo). Jifunze kutoa sadaka!!, jizoeze kutoa sadaka, jitaabishe kutoa sadaka!!. Utoaji si agizo la washirika bali hata viongozi (wachungaji, waalimu, wainjilisti na watu wote wanaoujenga…

IHUBIRI INJILI, KILA MAHALI KWASABABU AKUZAYE NI MUNGU.

Jina la Mwokozi wetu YESU KRISTO libarikiwe. Upo umuhimu wa kuhubiri injili mahali popote na katika mazingira yoyote kwasababu ni agizo la Bwana mwenyewe (Mathayo 28:18-20). Wapo wanaoamini kuwa injili…

VIGEZO VYA NEEMA YA MUNGU.

Tangu mwanzo mwanadamu alikuwa akijaribu kujiokoa kwa njia yake mwenyewe ikiwemo kuonyesha matendo yake mazuri, na mwenendo wake mkamilifu lakini hakuweza. Pengine aliweza kushinda wizi kikamilifu lakini uongo ukamshinda, aliweza…

Neno Siuze linamaanisha nini kwenye biblia?

Siuze ni ‘Sembuse’, kwa uandishi mwingine. Kwamfano mtu anaposema kauli hii  “Kama Bwana Yesu alikuwa mwombaji siuze mimi, kuzidi hapo? .Ni sawa tu  na kusema “Kama Bwana Yesu alikuwa mwombaji…

IFUATE KANUNI SAHIHI YA MUNGU

Zipo kanuni za ki-Mungu tunaweza kuzifuata na zikaleta matokeo kabisa halisi, lakini zisiwe na manufaa kwetu katika suala la wokovu.  Sasa kabla ya kuangalia ni kwa namna gani?  chukulia mfano…

Biblia inasema nini kuhusu mtu ‘Mwenye kujipendekeza (Mithali 29:5)

SWALI: Naomba kufahamu ujumbe ulio katika Mithali 29:5 ‘Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake’. JIBU: Mithali hii inazungumzia madhara yanayoibuka katika tabia ya kujipendekeza. Kujipendekeza…