Mafundisho maalumu kwa waongofu wapya: Sehemu ya tatu. Ikiwa wewe ni mwongofu mpya, yaani umeokoka hivi karibuni, basi mafundisho haya yanakufaa sana katika hichi kipindi ulichopo. Ikiwa ulipitwa na mafundisho…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Neno la Mungu linasema… 1Samweli 15:22 “Naye Samweli akasema, je! Bwana huzipenda sadaka za kuteketezwa na dhabihu Sawasawa…
SWALI: Bwana Yesu asifiwe, naomba kufahamu nitajuaje kama nimeitwa ili kumtumikia Mungu, ni viashiria gani vitanitambulisha? JIBU: Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe milele na milele.Ni vizuri kufahamu…
MAFUNDISHO MAALUMU KWA WAONGOFU WAPYA. Sehemu ya pili: Kaa Majangwani: Luka 1:80 “Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu rohoni, akakaa majangwani hata siku ya kutokea kwake kwa Israeli”. Ni kawaida ya…
Unajua ni kwanini Bwana Yesu alisema “Jiangalieni basi jinsi msikiavyo?” (Luka 8:18) Alijua kuwa kuna hatari kubwa sana ya mtu aliyesimama kupotea kwa kile tu anachokisikia ikiwa hakitokani na yeye..…
Kama unadhani mazingira ni sababu ya wewe kutokuwa Mwanafunzi wa Yesu, basi tafakari mara mbili!. Unaweza kusema labda Nimezaliwa katika dini inayompinga Kristo, nawezaje kuwa Mkristo tena yule wa kujikana…
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe karibu tujifunze biblia, Luka 21:37 “Basi, kila mchana alikuwa akifundisha hekaluni, na usiku huenda kulala katika mlima uitwao wa Mizeituni 38 NA WATU…
Sehemu ya kwanza: LIA NA NYONYA. Nakusalimu katika jina kuu lenye uweza la mwokozi wetu Yesu Kristo, sifa na heshima vina yeye milele na milele. Haya ni Makala maalumu kwa…
Swali: Bwana alimaanisha nini kusema wokovu watoka kwa Wayahudi?, kwani si tunajua Wokovu unatoka kwa Mungu, iweje hapo aseme unatoka kwa Wayahudi? Jibu: Tusome, Yohana 4:22 “Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi…
Nakusalimu tena katika jina la Bwana Yesu mwokozi wetu, karibu katika kutafakari Maneno ya uzima..huu ni mwendelezo wa Makala zinazohusu malezo ya Watoto kwa mzazi. Ikiwa wewe ni mzazi au…