Naomba kujua kama Maji ya Zamzam yapo kibiblia na kama tunaweza kuyanunua na kutumia. Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu libarikiwe. Maji ya Zamzam ni maji yanayoaminika kutoka katika kisima…
There is a place tha Lord said these words... Revelation 16:15 "Behold, I come as a thief. Blessed is he that watcheth, and keepeth his garments, lest he walk naked,…
Maandiko yanasema, Neno la Mungu ni kama Upanga unaokata kuwili, (yaani una makali pande mbili,mfano wa sime). Na lina uwezo wa kuzigawanya Nafsi na Roho. Mtu aliyejikana Nafsi yake, na…
SWALI: Nini maana ya huu mstari Kumbukumbu 27: 24 “Na alaaniwe ampigaye mwenzake kwa siri. Na watu wote waseme Amina”. SWALI: Kulingana na sheria ya wayahudi, kosa lolotela kumdhuru mwenzako,…
Katika Agano la kale zilikuwepo aina za sadaka mbali mbali, ambazo Mungu aliwaagiza wana wa Israeli wazitoe, ilikuwepo sadaka ya Amani, sadaka ya dhambi, sadaka ya kuinuliwa, kadhalika ilikuwepo sadaka…
Shalom, karibu tujifunze na tujikumbushe wajibu wetu sisi kama watakatifu katika safari yetu ya Imani hapa duniani. Kuna mambo ambayo tunaweza tukashindwa kumfanyia Mungu, tukadhani kuwa “Mungu anaelewa”, kumbe yanatafsirika…
SWALI: Kulingana na Danieli 7:14 inatabiri kuwa Ufalme wa Bwana Yesu utakuwa ni wa milele, Lakini tukirudi katika 1Wakorintho 15:24 anasema mwishoni atampa Baba yake ufalme wake, Je hapo inamaana…
Answer: Let's read 2 Corinthians 3:6 "Who also hath made us able ministers of the new testament; not of the letter, but of the spirit: for the letter killeth, but…
Maneno hayo tunayasoma katika kile kitabu cha Mathayo 18:18, Mathayo 18:18 “AMIN, NAWAAMBIENI, YO YOTE MTAKAYOYAFUNGA DUNIANI YATAKUWA YAMEFUNGWA MBINGUNI; NA YO YOTE MTAKAYOYAFUNGUA DUNIANI YATAKUWA YAMEFUNGULIWA MBINGUNI” Sasa ili…
MUME / MKE BORA KUTOKA KWA BWANA UTAMWONA UKIWA KATIKA MAZINGIRA GANI?