Lengo la Mungu kuwapa watu amri ya kuitunza sabato lilikuwa ni tofauti na lilivyochukuliwa au kutafsiriwa.Tuchukue mfano wa kawaida wa kimaisha... Kikawaida, kila mtu ni lazima katika siku moja anao…
Ratili ni kipimo cha uzito kilichotumika enzi za kale..chenye uzito sawa na Gramu 500 hivi. Karibia na nusu kilo. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi kwenye biblia.. Yohana 19:39 Akaenda…
“Mtima” ni neno linalowakilisha aidha “nafsi ya mtu” au “roho ya mtu” Hivyo mtu anayeugua rohoni, ni sawa na kusema “anaugua katika mtima wake”.. kadhalika mtu aliyeumizwa nafsini mwake ni…
Katika biblia tunaona kama Umedi na Uajemi zikitajwa kwa pamoja, kana kwamba ni Taifa moja, ingawa ni falme mbili tofauti, sasa zilitawalaje? Umedi na Uajemi Ni utawala mmoja ulioundwa na…
Jina la Bwana YESU Kristo libarikiwe, karibu katika mwendelezo wa uchambuzi wa vitabu vya biblia, Tumekwisha kuvitazama vitabu kadhaa nyuma, na leo kwa neema za Bwana tutapiga hatua moja mbele,…
Nakusalimu katika jina kuu sana la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu tujifunze maneno ya uzima. Ulishawahi kuutafakari kwa ukaribu huu mstari ambao Bwana Yesu aliusema katika.. Luka 16:12 “Na kama…
Liturjia/Litrujia ni mwongozo wa jinsi ya kufanya ibada unaotumiwa na makanisa mengi. Ibada inaundwa na vitu vikuu vitano, ambavyo ni Maombi, Neno, Matoleo, Sifa, na Meza ya Bwana. Vitu hivi…
Furaha kwa tafsiri ya kawaida, ni muhemko chanya wa kihisia unaotakana na aidha kuridhishwa na jambo fulani au kupata kitu fulani. Kwa mfano katika biblia Wale mamajusi walipoina tena ile…
Kuwaogopa wanadamu huleta mtego,(Mithali 29:25)
Gombo ni aina ya vitabu vilivyo katika mfumo wa kuviringishwa, kwa lugha ya kiingereza “Scrolls” (tazama picha juu). Aina ya vitabu hivi vilitumika sana katika enzi za zamani na vilikuwa…