DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Je biblia inajichanganya kwa habari ya hukumu ya Mungu (Yohana 12:47 na Yohana 5:22, 27).

Swali: Katika Yohana 5:22 na 27 tunaona biblia inasema kuwa Mungu amempa Mwana (Yaani Bwana Yesu) hukumu yote…. lakini tukiruka mpaka ile sura ya 12:47 tunaona tena Bwana YESU anakanusha…

Je wafu wanafufuliwa au hawafufuliwi kulingana na Ayubu 14:12 na 1Wakorintho 15:51?

Swali: Katika Ayubu 14:12 tunasoma kuwa wafu hawafufuliwi, lakini katika 1Wakorintho 15:51 tunaona tena biblia inasema wafu watafufuliwa, sasa tuchukue ipi tuache ipi?.. au je biblia inajichanganya yenyewe? Jibu: Biblia…

NIFANYE NINI NIMSHINDE SHETANI?

1) WOKOVU:  Hilo ndio jambo la kwanza. Kamwe huwezi kumshinda shetani ikiwa upo nje ya Kristo, Ndicho kilichowakuta wale wana wa Skewa, walipotaka kutoa pepo kwa jina la Yesu. Lakini…

Mungu anaketi katikati ya sifa?

Swali: Kwa namna gani Mungu anaketi katikati ya sifa? Jibu: Biblia haisemi “Bwana Mungu anaketi katikati ya sifa”…bali inasema “Mungu anaketi juu ya sifa za Israeli”. Zaburi 22:3 “Na Wewe…

Bwana YESU alibatizwa na umri gani?

Jibu: Umri kamili ambao Bwana YESU alikuwa nao wakati anabatizwa na Yohana katika mto Yordani, ni miaka thelathini (30). Tunalithibitisha hilo katika Luka 3:21-23.. Luka 3:21 “Ikawa, watu wote walipokwisha…

Ndugu Yule anayezungumziwa kwenye 2Wakorintho 8:18 ni nani?

SWALI: Kwenye 2Wakorintho 8:18, Mtume Paulo anamtaja ndugu ambaye jina lake hajaliweka wazi. Ni kwanini afanye hivi tofauti na alivyozoea kufanya katika nyaraka zake nyingine, kuwataja aliowatuma?  2Wakorintho 8:18 Na…

Orodha ya Miji ilivyojulikana Agano Jipya na inavyojulikana sasa

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya  Miji ya biblia katika AGANO JIPYA, jinsi ilivyojulikana na inavyojulikana sasa.  (Ili kulisoma “Jedwali” lote, slide kuelekea kushoto) Fuatilia tena hapa hapa, Orodha ya…

MAOMBI YANGU YAFIKE KWAKO.

Mistari ya kujihamasisha kuzidi kuomba na kumsihi Bwana! Zaburi 88:1 “Ee Bwana, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako. 2 MAOMBI YANGU YAFIKE MBELE ZAKO, Uutegee ukelele…

Je! Uvimbe unatibika?

Jibu ni ndio. Lakini sio njia zote zinaweza kutibu ugonjwa huo. Ni kweli madaktari hufanya kwa sehemu yao. Lakini Mungu hufanya zaidi, kwake yote hutibika. Uvimbe wa aina yoyote ile,…

Kuhisi vitu vinatembea mwilini.

Yapo matatizo ya kimwili ambayo kwa tiba hutatulika, Ukiona unahisi vitu vinatembea mwilini kama vile wadudu, na kukusababishia madhara fulani mwilini lada kuchoka, mwili kuuma, ni vema ukaenda kwanza kuangalia…