DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

Je! “Mke wa ujana wako” ni yupi kibiblia?

SWALI: Je! Mke wa ujana ni yupi.. Je! siruhusiwi kumwacha Rafiki yangu wa kike (Girlfriend) au wa kiume (Boyfriend) na kwenda kuwa na mahusiano na mwenzi mwingine, kwasababu yule wa…

ITAKUFAIDIA NINI?

Marko 8:34  “Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, Mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike na msalaba wake, anifuate. 35  Kwa kuwa mtu atakaye kuiponya nafsi yake,…

BADO UPO YERUSALEMU TU..GALILAYA HUTAKI KWENDA?

Wakati ule Bwana Yesu anafufuka, utaona, lipo kundi la watu alilitokea akiwa kule kule Yerusalemu, lakini lipo kundi lingine alilipa masharti ni wapi atakapokutana nalo. Kwa mfano Yesu wale watu…

Hiana ni nini?

Neno “hiana” maana yake ni “usaliti” ule wa mapenzi. Endapo mtu mmoja akimwacha mke wake/mume wake na kwenda kufanya uzinzi , mtu huyo amefanya mambo ya hiana kwa mwenzake. Na…

Fumo ni nini kama tunavyosoma katika biblia? (Hesabu 25:7)

Fumo ni mkuki, lakini katika biblia Neno mkuki linatumika kwa namna mbili, upo mkuki wa kuchomea, na pia upo mkuki wa kurusha. Ule mkuki wa kuchomea ndio unaoitwa Fumo, ambao…

Birika ni nini?, na yale Matao matano katika birika la Bethzatha ni nini?.

Jibu: Kipo kifaa kinachoitwa Birika tulichozoea kukijua, ambacho kinatumika kuhifadhia chai au maji. Lakini pia neno hilo hilo birika lina maana ya “Bwawa” au “Dimbwi dogo”, lilolotengenezwa kwa kazi Fulani…

Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika..

SWALI: Nini maana ya hili neno, Mathayo 21:44 “Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika-vunjika; naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki. 45 Wakuu wa makuhani na Mafarisayo, waliposikia mifano…

MMESIKIA KWAMBA IMENENWA?

Zipo sheria zilizotoka kwa Mungu, na pia zipo sheria zilizotengenezwa na wanadamu lakini Mungu akaziruhusu zitumike kwa watu wake. Kwamfano katika biblia tunasoma kuwa wana wa Israeli waliruhusiwa kutoa talaka…

Ni muda gani Bwana Yesu alisulibiwa. Je! Ni saa 3 au saa 6?

SWALI: Ni muda gani Bwana Yesu alisulibiwa. Je! Ni saa 3 asubuhi kama tunavyosoma kwenye Marko, au saa 6 mchana kama tunavyosoma katika Yohana. JIBU: Tusome vifungu vyenyewe. Marko 15:24…

YAFAHAMU MAPENZI KAMILI YA MUNGU KWA MAADUI ZAKO.

Haijalishi utaudhiwa na watu kiasi gani, haijalishi utakuwa na maadui wengi kiasi gani, lakini kamwe Mungu hawezi kuwachukia kama unavyowachukia wewe. Jicho lako linavyowaona wewe ni tofauti na Mungu anavyowaona,…