Je msikiti wa Al-Aqsa ni nini, na unahusikaje katika unabii wa biblia? Angalizo: Makala hii haina lengo la kushambulia Imani Fulani, wala kushabikia Imani Fulani, pia haina lengo la kumchafua…
1Wakorintho 7:28 Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali akiolewa, hana hatia; lakini watu kama hao watakuwa na dhiki katika mwili nami nataka kuwazuilia hayo. Awali ya yote katika vifungu…
Swali: Katika Yohana 5:22 na 27 tunaona biblia inasema kuwa Mungu amempa Mwana (Yaani Bwana Yesu) hukumu yote…. lakini tukiruka mpaka ile sura ya 12:47 tunaona tena Bwana YESU anakanusha…
Swali: Katika Ayubu 14:12 tunasoma kuwa wafu hawafufuliwi, lakini katika 1Wakorintho 15:51 tunaona tena biblia inasema wafu watafufuliwa, sasa tuchukue ipi tuache ipi?.. au je biblia inajichanganya yenyewe? Jibu: Biblia…
1) WOKOVU: Hilo ndio jambo la kwanza. Kamwe huwezi kumshinda shetani ikiwa upo nje ya Kristo, Ndicho kilichowakuta wale wana wa Skewa, walipotaka kutoa pepo kwa jina la Yesu. Lakini…
Swali: Kwa namna gani Mungu anaketi katikati ya sifa? Jibu: Biblia haisemi “Bwana Mungu anaketi katikati ya sifa”…bali inasema “Mungu anaketi juu ya sifa za Israeli”. Zaburi 22:3 “Na Wewe…
Jibu: Umri kamili ambao Bwana YESU alikuwa nao wakati anabatizwa na Yohana katika mto Yordani, ni miaka thelathini (30). Tunalithibitisha hilo katika Luka 3:21-23.. Luka 3:21 “Ikawa, watu wote walipokwisha…
SWALI: Kwenye 2Wakorintho 8:18, Mtume Paulo anamtaja ndugu ambaye jina lake hajaliweka wazi. Ni kwanini afanye hivi tofauti na alivyozoea kufanya katika nyaraka zake nyingine, kuwataja aliowatuma? 2Wakorintho 8:18 Na…
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya Miji ya biblia katika AGANO JIPYA, jinsi ilivyojulikana na inavyojulikana sasa. (Ili kulisoma “Jedwali” lote, slide kuelekea kushoto) Fuatilia tena hapa hapa, Orodha ya…
Mistari ya kujihamasisha kuzidi kuomba na kumsihi Bwana! Zaburi 88:1 “Ee Bwana, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako. 2 MAOMBI YANGU YAFIKE MBELE ZAKO, Uutegee ukelele…