DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

UFUATILIAJI NI SEHEMU YA HUDUMA MUHIMU KWENYE UINJILISTI

Matendo  11:25 Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli; Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo, napenda leo tujifunza jambo moja ambalo huwenda linasahaulika miongoni mwetu kama watendakazi shambani mwa…

Ijapokuwa amekufa, angali akinena(Waebrania 11:4)

SWALI: Maandiko yanaposema Habili ijapokuwa amekufa angali akinena, je! Ananenaje, wakati yeye ni marehemu. Je! Hiyo inamaana wazee wetu wa zamani wanaweza kunena na sisi? Waebrani 11:4  Kwa imani Habili…

Yakobo alimaanisha nini kusema ‘ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu’ Mwanzo 28:21

Mwanzo 28:21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu. JIBU: Sura hiyo inaeleza ugumu wa safari ya Yakobo alipokuwa anamkimbia ndugu Yake Esau kuelekea…

TABIA SITA (6) ZA WANAFUNZI WA YESU.

Zifuatazo ni baadhi ya tabia za kuigwa walizokuwa nazo wanafunzi wa Bwana YESU ambazo nasi tunapaswa tuzionyeshe. 1. WALIJIKANA NAFSI ZAO. Hii ni sifa ya kwanza waliyokuwa nayo wanafunzi wa…

Epafrodito ni nani kwenye biblia?

Epafrodito alikuwa ni mmoja wa watendakazi wa makanisa yaliyokuwa Filipi. Anajulikana kama mhudumu wa mahitaji ya mtume Paulo. Tunaona upendo wa Kanisa la Filipi jinsi lilivyomkumbuka Mtume Paulo alipokuwa kifungoni…

Epafra ni nani katika biblia? (Wakolosai 1:7)

Epafra ndiye alikuwa mwangalizi wa kanisa la Kolosai, Paulo alimtambua  kama mhuhudumu mwaminifu wa Kristo. Kiasili naye pia alikuwa mwenyeji wa mji huo huo wa kolosai kufuatana na kauli Paulo…

Semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; (Luka 17:10) 

SWALI: Naomba kufahamu maudhui iliyo nyuma ya  Luka 17:10 inayosema.. Vivyo hivyo nanyi, mtakapokwisha kuyafanya yote mliyoagizwa, semeni, Sisi tu watumwa wasio na faida; tumefanya tu yaliyotupasa kufanya. JIBU: Kufahamu…

Fahamu mana ya Zaburi 48:14 Yeye ndiye atakayetuongoza

SWALI: Ipi tafsiri ya Zaburi 48:14 ? Kwa maana ndivyo alivyo MUNGU, Mungu wetu. Milele na milele  Yeye ndiye atakayetuongoza. JIBU: Mwandishi anajivunia sifa ya Mungu wao wa milele. kwamba ndiye atakayewaongoza. Akiwa…

‘Waibao watu ‘ sawasawa na 1Timotheo 1:10 humaanisha nini?

SWALI: Biblia inapowataja ‘waibao watu ‘ sawasawa na 1Timotheo 1:10 humaanisha nini? JIBU: Tusome; 1 Timotheo 1:8-10 Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo…

Marimari ni nini? (Luka 7:37)

Jibu: Tureje.. Luka 7:37  “Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya MARIMARI yenye…