DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JIFUNZE NENO LA MUNGU KWA BIDII ZOTE.

Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, libarikiwe!. Karibu tujifunze Biblia. Ndege tunazozipanda zinazoruka angani, hazijaundwa na mtu mmoja, kuna jopo kubwa sana la watu wamechangia maarifa katika kuiunda…

WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA lyrics na historia

WAMWENDEA YESU KWA KUSAFIWA lyrics (Are you washed in the Blood?) Wimbo huu uliandikwa na ndugu mmoja aliyeitwa Elisha Hoffman mwaka 1878, huko Ohio Marekani. Baada ya kuhitimu katika chuo…

KUOTA UPO MAKABURINI.

Kuota upo makaburini kuna maanisha nini kibiblia? Makaburini sikuzote ni mahali wanapolazwa wafu, ikiwa unaota ndoto hii mara kwa mara upo makaburini ni ishara kuwa hali yako ya rohoni ni…

Bawabu ni nani/nini?

Bawabu (kwa kiingereza -Doorkeeper/Porter) ni nani katika biblia? Bawabu maana yake ni msimamzi wa mlangoni, anayefunga na kufungua, na anayeruhusu na kutoruhusu mtu au vitu kuingia, Hawa wanakuwa hususani katika…

 Behewa ni nini?

Behewa kwa jina lingine ni UA, ni eneo la wazi lililokuwa limezungushiwa fensi mbele ya Hema ya kukutania , kwa ajili ya makuhani kutoa sadaka za kuteketezwa, na kufanya shughuli…

BWANA SI MWEPESI WA HASIRA, LAKINI BWANA NI MWINGI WA HASIRA.

Kuna wakati ulifika Nabii Nahumu alifunuliwa juu ya hatma ya mji mmoja ulioitwa Ninawi, Mji huu ndio uliokuwa mji mkuu waTaifa la Ashuru, ulikuwa mji wa kwanza kwa ukubwa kuliko…

Uwanda wa dura ni nini?

Ni vizuri kufahamu kwanza maana ya uwanda, Uwanda ni sehemu iliyowazi iliyonyooka. Hivyo uwanda wa Dura ni sawa na kusema eneo la Dura lililo wazi. Eneo hilo lilikuwepo Babeli na…

SHUSHANI NGOMENI NI WAPI KWA SASA?

Shushani ngomeni ni sehemu gani kwasasa? Mji wa shushani/Susa kwasasa upo eneo linaloitwa Shush katika  nchi ya Iran. kabla wamedi na waajemi kuiangusha Babaeli, Shushani ulikuwa ni mji mkuu wa…

Safari ya mbinguni.

Safari ya kwenda mbinguni ni safari isiyo na siku ya kupumzika. Kama vile moyo unavyodunda bila kusimama kwa miaka na miaka...Ndivyo safari ya Mbinguni ilivyo.. Ni mwendelezo kila kukicha, tukilala,…

JIOKOE WEWE NA NYUMBA YAKO.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ndio taa ya miguu yetu na mwana uiongozayo njia yetu (Zab.119:105). Katika safari ya Imani usisahau kamwe…