SWALI: Chapa zake Yesu ni nini? Kama tunavyosoma katika Wagalatia 6:17? JIBU: Wagalatia 6:17 “Tangu sasa mtu asinitaabishe; kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu.” Kuna mambo machache ya…
Shalom, Naomba kufahamu kitendo cha kupiga miayo mara kwa mara hususani wakati wa maombi, Je! Ishara ya kuwa na mapepo au nguvu za giza?. JIBU: Kwa namna ya kawaida kupiga…
Mathayo 7:6 “Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua”. Maneno hayo yalizungumzwa na Bwana wetu Yesu. Akifunua…
Je! Ni sahihi kwa mkristo kufikiria hivi?.. Jaribu kufikiria mfano huu.. Mtu mmoja alitamani sana kujua afya ya mwili wake, hivyo akakusudia kweli kwenda hospitali kupima afya yake kama ameathirika…
Mkaribie Bwana. Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Miongoni mwa watu waliokuwa wanamfuata Bwana Yesu kulikuwa na makundi manne..1) Makutano 2)Wanafunzi 3)Mitume 12 na 4) Nguzo. Kundi la kwanza ambalo…
Shalom, karibu tujifunza Neno la Mungu.. Matendo 13:46 “Paulo na Barnaba wakanena kwa ushujaa wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza; lakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, na kujiona…
Basi tuendelee kumjua mungu, naye atatujilia kama mvua ya vuli. Ndugu, mmoja aliniuliza, akasema, Ni faida gani unapata katika kumtumikia Mungu?..Nikamwambia ni nyingi tu, akasema mimi niliokoka tangu zamani, na…
SWALI: Hujambo mpendwa,naomba nieleweshwe hili tafadhali katika mwanzo 22:14 utaona Ibrahimu alipaita mahali pale YEHOVA-YIRE ambapo alimtoa yule kondoo kuwa sadaka, badala ya Isaka, lakini ukisoma tena katika Kutoka 6:2-3…
Ufunuo 12:12 “Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache…
Hesabu 23:23 “Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli” Wengi tunalifahamu hili andiko na tunalitumia, pale tunapohisi roho za kichawi zinatunyemelea…Na tunapolitumia kwa Imani linaleta…