Swali: Sifa na Lami ni nini kama tunavyosoma katika Kutoka 2:3 Jibu: Turejee.. Kutoka 2:3 “Na alipokuwa hawezi kumficha tena, akampatia kisafina cha manyasi akakipaka SIFA NA LAMI, akamtia mtoto…
Sakitu ni BARAFU INAYOANGUKA KUTOKA JUU, ambayo mara nyingi inafunika mimea, au barabara au nyumba katika nchi zenye baridi kali. (Tazama picha juu). Ayubu 38: 29 “Barafu ilitoka katika tumbo…
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, karibu katika kujifunza Neno la uzima. Ni vizuri kufahamu mana waliyopewa wana wa Israeli jangwani, ijapokuwa ilikuwa ni ileile lakini haikuwa na…
Swali: Mchuuzi maana yake nini kama tunavyosoma katika Hosea 12:7? na je tunaruhusiwa kuwa wachuuzi? Jibu: Turejee. Hosea 12: 7 “Ni MCHUUZI, mizani ya udanganyifu i mkononi mwake; anapenda kudhulumu”…
Jina la Bwana wetu YESU KRISTO libarikiwe. Karibu tujifunze biblia Neno la Mungu wetu lililo Mwanga wa njia yetu na Taa iongozayo miguu yetu (Zaburi 119:105). Wengi tuna juhudi katika…
SWALI:Ni alama gani Mungu aliyomtia Kaini mwilini? Tunaona Kaini baada ya kumuua ndugu yake Habili, Mungu alimpa adhabu kwa kumwambia maneno haya; Mwanzo 4: 9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi…
SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Mathayo ni nani? Kama jina la kitabu linavyojieleza “INJILI KAMA ALIVYOIANDIKA MATHAYO MTAKATIFU”. Maana yake ni kuwa kitabu hiki kiliandikwa na Mathayo. Lakini utata unakuja…
SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Mithali alikuwa nani? Sulemani mwana wa Daudi, anajitaja mwenyewe kama mwandishi, katika mwanzo kabisa wa kitabu hiki Mithali 1:1 Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi,…
SWALI: Mwandishi wa kitabu cha Wafalme alikuwa nani? Biblia haijaweka bayana aliyekuwa mwandishi wa kitabu hiki, lakini kufuatana na hadithi za kiyahudi huaminika kuwa nabii Yeremia ndiye alikuwa mwandishi wa…
Mwandishi wa kitabu cha Filemoni Kitabu cha Filemoni ni moja ya nyaraka ambazo mtume Paulo aliziandika akiwa kifungoni Rumi. Waraka huu alimuandikia Filemoni mtu ambaye alimgeuza yeye mwenyewe katika injili…