Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Bwana Yesu alituonya katika Mathayo 24:3 “Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo…
Habari ya uzima wako mtu wa Mungu, Ni siku nyingine tena leo nakukaribisha tushiriki pamoja kujifunza Neno la Mungu, maji yaliyosafi yasafishayo roho zetu kila siku. Sote tunafahamu kuwa biblia…
Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, biblia inasema “Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu,”. Heri maana yake ni amebarikiwa, hivyo umebarikiwa wewe ambaye unakiu ya kufahamu maarifa…
Shalom…Karibu katika mwendelezo wa Kitabu cha Ufunuo..ambapo leo kwa Neema za Bwana tutaendelea na ile sura la 10..Kama hujapitia sura zilizotangulia, ni vizuri ungezipitia kwanza ili tuweze kwenda pamoja katika…
Habari ya uzima wako mtu wa Mungu, Nakukaribisha tuzitafute kwa pamoja Tunu za rohoni (Neno la Mungu) Sabuni ya kweli ya roho zetu.. Leo tutaangazia siri mojawapo ya Imani ambayo…
Shalom. Jina la Bwana wa Utukufu Yesu Kristo, libarikiwe.Biblia inasema katika kitabu cha Marko.. Marko 5:21 ‘Hata Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ng'ambo katika kile chombo, wakamkusanyikia mkutano mkuu; naye alikuwa kando ya bahari.…
Baada ya wana wa Israeli kutoka Misri na kuingia katika nchi yao ya ahadi Mungu aliwaagiza wazishike zile sikukuu 7 muhimu kama sikukuu za Bwana katika vizazi vyao vyote,.Kwa maelezo marefu juu…
Shalom Mtu wa Mungu, karibu tujifunza Maandiko..Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa ufupi juu ya HASIRA YA KIMUNGU…Tusome Mstari ufuatao kabla ya kuendelea ambao utatusaidia kuelewa kiini cha somo letu.…
Jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu…Taa iongozayo miguu yetu na Mwanga wa njia zetu (Zab.119:105). Karibia kila tukio linalotokea duniani baya au jema huwa…