DON’T BE AFRAID WHEN YOU GO DOWN.

JINSI BWANA ALIVYOWACHAGUA MITUME WAKE.

Jina kuu la YESU KRISTO litukuzwe ndugu yangu. Karibu tujinze maneno ya uzima. Cha kushangaza, Bwana Yesu alipokuwa duniani hakulenga kundi Fulani maalumu la watu ili wawe wanafunzi wake, jaribu…

MBINGUNI YUPO NANI SASA?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Biblia, ambapo leo tutajifunza kwa ufupi juu ya upeo wa kimbinguni. Mungu alipomuumba mwanadamu, alimwumba na vitu vitatu NAFSI, MWILI na…

VITABU VYA BIBLIA: Sehemu ya 3

Karibu tujifunze Neno la Mungu, Biblia takatifu..Kama tunavyojua vitabu hivi vya biblia pamoja na kwamba vimeandikwa wakati mwingine kwa mfumo wa Hadithi, lakini vimebeba ufunuo mkubwa sana ndani yake. Ndio…

HUYU MELKIZEDEKI NI NANI?

Melkizedeki ni nani? Neno la Mungu linatuambia katika 1Timotheo 3:16 kuwa “bila shaka siri ya utauwa ni kuu.” Au kwa lugha rahisi Neno hili tunaweza kusema “bila shaka siri ya…

MWEZI NI ISHARA GANI KWETU?

Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze tena maneno ya Mungu. Kama wengi wetu tunavyojua kuwa, siku ya Bwana inakuja, siku ya hukumu yake ambapo Bwana atauhukumu ulimwengu kwasababu ya ubaya…

SEHEMU YA MAANDIKO ILIYOFICHWA.

Tukisoma biblia kwa utulivu tutagundua kuwa maandiko yamegawanyika katika sehemu kuu tatu, sehemu ya kwanza ni maandiko ambayo yamefunuliwa moja kwa moja kwa wakati wote, na ya pili ni maandiko…

MAVAZI YAPASAYO.

Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na…

CHACHU YA MAFARISAYO NA CHACHU YA HERODE.

Chachu ni nini?. Chachu kwa lugha ya sasa ni HAMIRA, na kwa kawaida ukiitazama hamira unaweza ukadhani ni unga Fulani hivi, lakini kiuhalisia ule si unga bali ni mkusanyiko wa…

UFUNUO: Mlango wa 22

Bwana wetu YESU KRISTO apewe sifa, Karibu katika mfululizo wa mwendelezo wa kitabu cha ufunuo leo tukiwa katika sura ya 22 na ya mwisho, Tusome..     Ufunuo 22 1…

UFUNUO: Mlango wa 21

Bwana YESU KRISTO atukuzwe, Karibu katika mafunzo ya kitabu cha Ufunuo, leo tukiwa katika ile sura ya 21, Tukisoma.. Mlango 21:1-8 1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa…